Habari zenu ndugu Watanzania...ninapenda kuwatangazia mabadiliko katika menu ya kifurushi cha chuo yaani Boom pack (TTCL).
Awali huduma hii ilikua inapatikana *148*30# kisha unachagua 9.Boom pack lakini sasa utaipata *148*30*35# ili kuepusha usumbufu au wingi wa hatua za kuunga kifurushi.
Endelea kufurahia mtandao wenye kasi zaidi Tanzania.
Rudi nyumbani kumenoga