Kumbe tupo wengi. Nimehamia Zantel nako naona sikuelewi elewi nataka nirudi VodaMmepunguza bando na mimi nikatupa line... ntasajili nyingine mkirudisha mabundle ya zamani
Mimi mwenyewe ninerudi zangu VodaKumbe tupo wengi. Nimehamia Zantel nako naona sikuelewi elewi nataka nirudi Voda
Niwekee siti Mkuu na me nakuja hukoMimi mwenyewe ninerudi zangu Voda
Ahaaa!!Hawa jamaa ni hatari kweny coverage!. Yaan wanapatikana kwenye kipenyo cha 10Km toka ofisin kwao. Mfano Mbeya ukianza tu SAE network haipo,ni ilombo mpaka mjini na ukishuka mbalizi mwisho darajan pale
Ndo nini Roaming?Ahaaa!!
Utumie Roaming ya Tigo ila kama nao wanazingua ndiyo imekula kwako
Wanakupangia jinsi ya kutumia pesa yako, kodi hawalipiView attachment 832560
Hapa kwny ndipo waliponishangaza kuunga kifurushi sasa imekuwa mpk ulichonacho kiishe.
Wameshaanza kuharibu ntarudi zangu halotel muda si mrefu
Voda ndio mpango mzima hawa ttcl wateja wao watakuwa wafanyakazi wa serikali tena kama wakilazimishwa na jiwe,Tuwe wakweli kuhusu data voda Ndo tegemezi japo gharama zao ziko juu tofauti na wengine.
TTCL hakuna lolote.
Wakiboresha coverage na data wala hawatakuwa na sababu ya kujitangaza tutatangaZiana wenyewe