Mentor utaoa lini...

Naona harufu ya Shigongo..............

Mganga?? wa nini sasa??

Wewe kutendwa mara moja tu umevunjika vunjika moyo??

Sio wote wabaya bana tafuta upate wa kwako uliyeandalia toka Mbinguni (Kama story ni ya kweli)
 
@dena amsi, Shigongo? do u really think so?

Nimeng'atwa na nyoka dadangu..maybe baadaye sana!!!
 
@dena amsi, Shigongo? do u really think so?

Nimeng'atwa na nyoka dadangu..maybe baadaye sana!!!

Baadae na umri unakwenda lakini kwanini umeamua kuandika na red bana inaumiza macho kwa wenye miwani
 
M hhhhhhhhhhhhh! mentor, umenistua sana, Loh! ndiyo maana ndoa nyingi za siku hizi hzidumu kwa sababu si ndoa zitokazo kwa Mungu ni za waganga Loh! Huyo dada si anaona aibu. anafanya wanaume wawe wanaogopa kuoa kwa kujua wanalogwa.Ila Mentor kama unataka mwenza funga na kusali Mungu atakuleta aliye ubavu wako.
 
Baadae na umri unakwenda lakini kwanini umeamua kuandika na red bana inaumiza macho kwa wenye miwani

Dada Dena, kweli umri unaenda but what do i do?

Amen!
 
Kwa?

huwezijua Mentor huenda kuna mtu kishazimika......
 
Last edited by a moderator:

Duh,hizo fantansies ni nouma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…