Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,275
- 34,158
Shenzi😃😃
Shenzi😃😃
Mbinguni ni kusifu na kuabudu😃😃We fala kifo imeingiaje hapo? Kwanza hata tukikufa tutakutana mbinguni tuendelee kukunyanyasa 😂🙌
Christine_1
😃😃😃Akisumbua niite kuna gunia la korosho lake ndani nikaliuze nikununulie😃🤣🤣🤣kabisa umeongea jambo la msingi
Anunue halotel
Acha wivu mzee baba😃kizuri kula na ndugu bwasheee🤣We unamatatizo? Eti unasema kabisa tumuone mkeo 😂
Wewe kumuona mke wangu ni haraam 😂🙌
Wewe wasema😃Amekosea sana mke wangu siyo wa maonyesho 😂
🤣🤣🤣🤣😃😃😃Akisumbua niite kuna gunia la korosho lake ndani nikaliuze nikununulie😃
Naam 🔥
Dah nimelia sana🤣🤣🤣Upweke unamsumbua 🤣🤣
We ni fala duniani ni kuabudu mbinguni ni kula bata 😂Mbinguni ni kusifu na kuabudu😃😃
Vile vile kuna 72 brand new😃😃
Lzm ulieDah nimelia sana🤣🤣🤣
Embu nyie wanandoa mniache basi😃😃😃Upweke unamtesa🤣
Uza nikufungulie kesi ya uhaini 😂😃😃😃Akisumbua niite kuna gunia la korosho lake ndani nikaliuze nikununulie😃
Shenzi😃Eti anajiita royal celibacy 😂
Mamiyake haipo hiyo 😂Acha wivu mzee baba😃kizuri kula na ndugu bwasheee🤣
Naenda worldwide kujiliwaza🤣🤣
🤣🤣thubutuuuEmbu nyie wanandoa mniache basi😃😃😃
Au mnataka niwe mjumbe nianze kuwaambia mtaachana tuu 😃 😃
Kumbavu 😂Wewe wasema😃
Me sijasema ni wa maonesho
Me najutunza kwa ajili ya hao 72,😃😃We ni fala duniani ni kuabudu mbinguni ni kula bata 😂
Naitaka ya kwake huko mbinguni itakuwa ya kipekee hao wengine ziada 😂🙌