Yeye hajui hilo alishazoea la zaman katafuta kwel kapiga simu adi makao makuu😃😃akidai hamuoni Wa ubavu wake labda wamefuta id yako kimakosa😃😃Hahaa
Nimerudisha user name yangu sio mpya hii
Jambo la kheri mkuu kama upo salamaMungu ni mwema kwakweli im good
Umejipanga umetafuta adi lipa ya TTCL 🤣🤣Au sio
Mwambie ndugu yako nahitaji bundle laa sivyo namuacha
Hahaha
Lipa ya ttcl ninayo
Lipa namba ya TTCL Mkuu umewai kukutana nayo wapi😃😃Haya mambo ya lipa namba jf nilikua naona kama matani mtu akiniambia napotezea.
Juzi mtu akaniambia nikasema ebu nimtumie nione nikashangaa dk 10 nyingi muamala umesoma😂
Ukiomba ya voda unadhani hutopewaLipa namba ya TTCL Mkuu umewai kukutana nayo wapi😃😃
nitajuaje kama mnanichezea akili😆 yani mnanitumia kuzugiaMwaka wa mbele aanze kunispoil mimi kabla ya wewe? Masikhara
Hiyo lipa ya TTCL Imekaa kimkakati😃Ukiomba ya voda unadhani hutopewa
Niombe msamaha😂nitajuaje kama mnanichezea akili😆 yani mnanitumia kuzugia
hapana nimeshtuka😆Niombe msamaha😂
Wasiwasi wako tu! Yule hajiwezi kwakohapana nimeshtuka😆
hapana nakataa😆😆 ushindweWasiwasi wako tu! Yule hajiwezi kwako
Subiri aje tuongee vizuri! Kama ni muislamu mimi nachukua mahari uende kua mke wa pili.hapana nakataa😆😆 ushindwe
kwahiyo ushanichoka mpka unipeleke kwenye mitara?!,, kakupa sh ngap kwanza nikutafutie ili uwe upande wangu😢Subiri aje tuongee vizuri! Kama ni muislamu mimi nachukua mahari uende kua mke wa pili.
Subiri kwanza! Nimeota yeye ni billionairekwahiyo ushanichoka mpka unipeleke kwenye mitara?!,, kakupa sh ngap kwanza nikutafutie ili uwe upande wangu😢
ndoto za asubuhi ukiwa na njaa ziepuke sana hazinaga ukweli wowoteSubiri kwanza! Nimeota yeye ni billionaire
Swahiba!!!
Niko poa kabisa Swahiba ,sijui wewe Swahiba wanguSwahiba!!!
Uko aje?
😆😆😆🙌Haya mambo ya lipa namba jf nilikua naona kama matani mtu akiniambia napotezea.
Juzi mtu akaniambia nikasema ebu nimtumie nione nikashangaa dk 10 nyingi muamala umesoma😂
Kampigia mpk melo??Yeye hajui hilo alishazoea la zaman katafuta kwel kapiga simu adi makao makuu😃😃akidai hamuoni Wa ubavu wake labda wamefuta id yako kimakosa😃😃