mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,935
mimi nakimbia nawaacha huku mgongane vichwaHatutaki mpaka kiwake
mimi nakimbia nawaacha huku mgongane vichwaHatutaki mpaka kiwake
Nyie mna ugomvi wenuIla jamaa mtoto wa mama sana , Mimi. Hata nikigundua ananichapia Wala sitajali 😅😅
Hapana bwasheeNyie mna ugomvi wenu
Nani huyoVincenzo Jr mwenetu kanichukia sijui why
Mhmm acha kujitoa ufahamu bwasheeNani huyo
Nakula dawa hapa nasikia usingizi sio powa embu niambie ni naniMhmm acha kujitoa ufahamu bwashee
Dawa za nini mangiNakula dawa hapa nasikia usingizi sio powa embu niambie ni nani
WeedDawa za nini mangi
Hahahaah Mimi nakula pombe na mziki mzuri hapaWeed
Nasubiria viazi yai hapo nje brother hapa ngoja nisinzie tu baadae brotherHahahaah Mimi nakula pombe na mziki mzuri hapa
Jameni why anafanya hivyoPoa dogo ila ephen_ msela wetu kanipiga mikausho hatari
Kisa kaolewa etiJameni why anafanya hivyo
Sina cha kuongea, nikipata utaona nakuongeleshaHapana sijawa mshenga nimehisi tu bestie
Tufurahi tu rafiki yanguSina cha kuongea, nikipata utaona nakuongelesha