mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,922
Mwachiluwi anakuchapia mkuu.Mwaka huu nitafanya Kila njia nimpate
Mwachiluwi anakuchapia mkuu.Mwaka huu nitafanya Kila njia nimpate
Sijakuelewa unamaanisha Nini embu jiheshimu mwananguMwachiluwi anakuchapia mkuu.
Anakuibia Fake P wako na mapishi yake.Sijakuelewa unamaanisha Nini embu jiheshimu mwanangu
Enzo kwanini watu wafupi huwa mna vituko😂? Ushawahi kupigana?Sijakuelewa unamaanisha Nini embu jiheshimu mwanangu
Anataka kuniletea miyeyusho eti anasema Mimi naibiwaEnzo kwanini watu wafupi huwa mna vituko😂? Ushawahi kupigana?
Hivi huyo jamaa akimchapia mtu nae atawaza? Namwona laini laini sana huyo dogoMwachiluwi anakuchapia mkuu.
Baadae watasema wewe ndo umetangaza kumbe wanajitungia wao wenyewe😂Anataka kuniletea miyeyusho eti anasema Mimi naibiwa
Tajiri Abeli totoz zinakuponyoka tu.Naa mambo
Wana mambo ya ajabu sana hawa madogo Kila nikikumbuka walinizushia kuwa eti Nina picha zako nachoka sana mimiBaadae watasema wewe ndo umetangaza kumbe wanajitungia wao wenyewe😂
Yaliyopita si ndwere tugange yajayo!☺️Wana mambo ya ajabu sana hawa madogo Kila nikikumbuka walinizushia kuwa eti Nina picha zako nachoka sana mimi
Brother jiheshimu mwanangu mbona Mimi sijawahi kukuvunjia heshima hivi kama sio ucenge ni NiniTajiri Abeli totoz zinakuponyoka tu.
Anajua kupika wachumba wanajipeleka wenyewe mkuu.Hivi huyo jamaa akimchapia mtu nae atawaza? Namwona laini laini sana huyo dogo
Wana mambo ya kitoto sanaYaliyopita si ndwere tugange yajayo!☺️
Just banter my G don't stress.Brother jiheshimu mwanangu mbona Mimi sijawahi kukuvunjia heshima hivi kama sio ucenge ni Nini
Hatutaki mpaka kiwakeJust banter my G don't stress.
Ila jamaa mtoto wa mama sana , Mimi. Hata nikigundua ananichapia Wala sitajali 😅😅Anajua kupika wachumba wanajipeleka wenyewe mkuu.
Poa poa mwananguJust banter my G don't stress.