zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
Aya Chakorii naacha mammie Sema kiswahili hakiko romantic ndo maanawe muache tu

Aya Chakorii naacha mammie Sema kiswahili hakiko romantic ndo maanawe muache tu

Naona hajui bado tanzania na watu wake😅😅😅watu wanampita tu.hajui sisi ni ma judge.
Huo uromantic wako unaousema hapa unapatatikana kwenye pesa mdogo wanguAya Chakorii naacha mammie Sema kiswahili hakiko romantic ndo maana![]()
Mmh!mi hata nisipokuwa na pesa Ila habibi Wangu lazima awe happy na kwenye furaha hiyo ndo pesa itapatikanaHuo uromantic wako unaousema hapa unapatatikana kwenye pesa mdogo wangu

Piga shule kwanza mdogo wangu..kwa sasa hakuna kitu utaelewa..Mmh!mi hata nisipokuwa na pesa Ila habibi Wangu lazima awe happy na kwenye furaha hiyo ndo pesa itapatikana![]()
Shule niliacha dada nikiwa form 3 saivi nasaka money tu InshaAllahPiga shule kwanza mdogo wangu..kwa sasa hakuna kitu utaelewa..

SawaShule niliacha dada nikiwa form 3 saivi nasaka money tu InshaAllah![]()
Hata kunishauri hutakiSawa

Wakati ukifika na changamoto utakazopitia ndizo zitakazokushauriHata kunishauri hutaki![]()
Dah! Good sisWakati ukifika na changamoto utakazopitia ndizo zitakazokushauri
loh!nimetumia kiingereza tena we kiingereza niache tafadhaliHahah kwamba hayo ma 'bot' nayo yapo romantic?Jmn ushamtaja Kawe Alumni wangu😂😂😂
Vipi ushaelewa maana yake?Nimezipenda tu niambie maana yake basi![]()



😀😀 Kwamba just to disturb me