Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Sikuona hii ukitumia App nitabu kuona eti saiz ndio naiyona 😍 Lenie 😍
Sikuona hii ukitumia App nitabu kuona eti saiz ndio naiyona 😍 Lenie 😍
Pitia chini ya Mti nikwambie!!Nimezipenda tu niambie maana yake basi![]()
Nia yako ovu imeshashindwa chief
Ndio jiraniNaona mnaniweka kwenye kitimoto
Amen 🙏..jirani..Nia yako ovu imeshashindwa chief
Mpaka hapa ameshaishiwa kauli..Amen..jirani..
Na imeshindwa kwa kishindo Kizito sana![]()
Mnazareth mimi na nio ovu wapi na wapiNia yako ovu imeshashindwa chief




, wewe umesikia wapiiiiii ehhh wewe umesikia 



Uzuri ni kwamba tumefanikiwa kuizuia kabla haijaleta madhara.....Mnazareth mimi na nio ovu wapi na wapi, wewe umesikia wapiiiiii ehhh wewe umesikia
![]()

Wewe unautaka upiUjirani wa kuombana hadi chumvi siutaki
Nitaanzisha group la familia utakua kaimu mwandamiziUzuri ni kwamba tumefanikiwa kuizuia kabla haijaleta madhara.....![]()