Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,948
Treeeenaah.!! 👌
Ukija town na wenge lazima ukaribishwe na watoto wa mjini 🤣🤣🤣
Nyimbo tamu sana hizi
Poa, niaje mpare wa milimani?Mambo 😎
Mekumis 😎Poa, niaje mpare wa milimani?
Kipipa mmeopoesha ila nyie waja🤣🤣Oyoooooo.!! Mambo hayo 😻
Mama kaimba nyimbo hiyo, yani unabebewa mume “kibabe” na huna unafanya dadeq
Wapi dada kipipa weeeehh 🤣🤣🤣
Haya mkuuMekumis 😎
Kipipa tatizo mjini kaingia kwa wenge 😂😂Kipipa mmeopoesha ila nyie waja🤣🤣
Huu umji una wenyewe bana🤣💔Kipipa tatizo mjini kaingia kwa wenge 😂😂
Shosti yake coca kipipa
😹😹😹 kipipa kaishia kulombwa had na vibabu wa jeiefu nyie mie ahiiyiiii chitaki ntachutwa bureeeHuu umji una wenyewe bana🤣💔
😹😹😹 kipipa kaishia kulombwa had na vibabu wa jeiefu nyie mie ahiiyiiii chitaki ntachutwa bureee
Mfyuuu!! Smart girl wa nyokwee 😹😹smart gel kama yuleeee analambwaje na wazee jomoni🤣🤣
Nitakupanga kipenzLini? Em nipange wii
Hiyo sio ya kukosa aisee.!!
Fanya hivyo wii 😻Nitakupanga kipenz
Haswahh!! Waswahili na nongwa zetu 🤣🤣Uzi umegeuka kijiwe Nongwa 😂
mstupiane majini tuHaswahh!! Waswahili na nongwa zetu 🤣🤣
NitafuteHahahaaa. Lol.
Nilikuwaza jana ujue sema muda ukawa umekwenda. Lol.Nitafute



tena Taarabu za Sabaha Muchacho, zinanikoshaa balaaa.