Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
Nipo hapaa
ccy nimekumiss ujue.!
Huyo Tresor Mandala akuachie hata kidogo basi jommooonii!! Khaaaa.!! Hukumwambia kuna last born wenu anahitaji malavu??
Da Shunie hivi unamuelewa dada yetu kweli??
Hivi umeshanenepa?![]()


Shemeji tunaye na tuna tuna tamba naye mdogo wangu dada kakamatika
Nimefurahi sana kuupokea Moyo wangu baada ya mateso ya miaka mitatu namfukuzia,kweli Mungu ni wa wote
Oyooooooo..!!
Nyie dada kapata shemeji MNIWAAACHWEEEEE
NNA RAHA MIYEEE
Dada kamatia hapo hapo usiachieeee



Nenda moyo kitchen bar upo unaitwa urojo wa kipemba ukinywa ni mtamu sana 😋😎😎Vincenzo Jr sehemu gani kigamboni wanauza urojo?
Moyo kitchen bar ipo wapi, nielekezeNenda moyo kitchen bar upo unaitwa urojo wa kipemba ukinywa ni mtamu sana 😋😎😎
Maeneo ya Kijiji Beach paleMoyo kitchen bar ipo wapi, nielekeze
Mbaliii ila nitajitahidi kufikaMaeneo ya Kijiji Beach pale
😎😎😎😎😎 KaribuMbaliii ila nitajitahidi kufika
Na wewe kunitafuta againi? Oddo 😂😂😂
Ili wachawi wachanganyikiweNa wewe kunitafuta againi? Oddo 😂😂😂
Dada safari hii kapata KIBOKO YAKE 😂😂😂Shemeji tunaye na tuna tuna tamba naye mdogo wangu dada kakamatika
Nilishasema zawadi siwapi tena 😁😁😁😁😁
Vincenzo JrNilishasema zawadi siwapi tena 😁😁😁😁😁
Unamuita buba lako mnishambulie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pyumbafu weUnamuita buba lako mnishambulie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aikooooo! 😁😁 na Akuoe sasa, mpigane vizuri nimechoka kuwasuluhisha 🤪🤪Pyumbafu we