Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,085
- 104,510
😔Sijaachika dada 😂😂🤣
Mimi na yule jamaa kuachana ni mpk JF ibinafsishwe labda.!! Nalipenda chalii langu hakuna mfano, sema linabowa sometimes.
Apotee aende wapi tena?? Dada mkole si umepitia wote?? 😂😂😂Se
Sema hapa anaweza potea Kwa three days mpaka five,hapendagi ujinga mtasha wangu....😢😢😢
😂😂😂 Mbaga tulia basi!!
Hujui tuu vile naumia ukibehave hvy 😔😂😂😂 Mbaga tulia basi!!
We nawe toka lini umeanza kunipenda?? 😂😂😂Hujui tuu vile naumia ukibehave hvy 😔
😂😂😂 linaboa kweli SITANIIHahahahaha....aisee
Tangu kitambo, enzi hizo nakuona unapuyanga maeneo ya sanawariWe nawe toka lini umeanza kunipenda?? 😂😂😂
😂😂😂 Hapo kwanza nchekeTangu kitambo, enzi hizo nakuona unapuyanga maeneo ya sanawari
Ulikuwa unapuyanga na ndala zako za blue za bata😂😂😂 Hapo kwanza ncheke
Hahahahaha😂😂😂 linaboa kweli SITANII
😂😂😂 Mi huyu??Ulikuwa unapuyanga na ndala zako za blue za bata
Hahaha SASA mnaishije bila kuchangamshana kidogo...Mi ndio namtaka huyohuyo mwenye shida😁