Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 28,592
- 74,241
Kwa hiyo Leo morning glory kulikuwa hamna??Yaani ndio kwanza naamka jamani huo muda nilikuwa fofofo rafiki😌
Kulikua hamna!Kwa hiyo Leo morning glory kulikuwa hamna??
Namsubiria mtoto wakoKwann jamani.
Muhimu Kwa afya
🤣🤣🤣🤣Hamna kitu inaniboa kama hiyo,unajua mi ni wale wa kulala saa saba na nusu ila usubuhi Siwezi kudamka,Sasa nikiamshwa asubuhi Kwa ajili ya mambo ya kushetani Huwa nakasirika sana,naweza fanya bila hata kufumbua macho😅Kwa hiyo Leo morning glory kulikuwa hamna??
Hii msg nikajua umeniambia mimi kumbe joannahKwa hiyo Leo morning glory kulikuwa hamna??
Mwanako yupo mikono salama🤸Good morning mkweee
Umtunze mwanangu vzr
Yule Hana hoja nilimwambia akawa asikii sijui anazani huku ni kama Facebook Hawa madogo wasikuizi sio wastaarabu sanaVincenzo Jr yule mtoto kala kufuri kwa sababu yako?😂
Kaja na kanzu nyingine😂Yule Hana hoja nilimwambia akawa asikii sijui anazani huku ni kama Facebook Hawa madogo wasikuizi sio wastaarabu sana
Hahahahaha..nilikua nakusumbua tuYaani ndio kwanza naamka jamani huo muda nilikuwa fofofo rafiki😌