ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 6,455
- 23,734
Nikatie kabisa nitumie picha pm😂🤸Manyanyasoooo haya
Takulipia v.i.p
Nikatie kabisa nitumie picha pm😂🤸Manyanyasoooo haya
Takulipia v.i.p
Chek pm SASA araka kabla sijaifungaNikatie kabisa nitumie picha pm😂🤸
TayariChek pm SASA araka kabla sijaifunga
Hivi uongo utaacha lini??Tayari
Mkwe vaa miwani angalia pm hapo🤸Hivi uongo utaacha lini??
Mkuu kama natakaNina tiketi 5 , na jezi original 4 za jmosi kwenda uwanjani mwenye kuhitaji aniambie ...
Unatuma boda hairuhusiwi kufuata mwenyeweMkuu kama nataka
Namtuma boda au nafata mwenyewe?
Pm umefunga🤸Unatuma boda hairuhusiwi kufuata mwenyewe
Hahahahaha funguo ilipoteaga ,sijachongesha nyinginePm umefunga🤸
Mkuu kumbe umeleta tangazo ili tupige story!Hahahahaha funguo ilipoteaga ,sijachongesha nyingine
Hahaha ,We sema km unataka mie najua utapataje..itaachwa sehemu then huyo boda ataifuata hapo..🤣🤣Mkuu kumbe umeleta tangazo ili tupige story!
Nataka ndio!Hahaha ,We sema km unataka mie najua utapataje..itaachwa sehemu then huyo boda ataifuata hapo..🤣🤣
Unatakaje mkweSitaki,
Mkwe mwongo mwongo
Fanya ahadi once mkweUnatakaje mkwe
Wazee hawanunagi
Nijibu kwanza pmFanya ahadi once mkwe
Wahi mwenyewe huko piemu mwendo wamatekaNijibu kwanza pm
Tusimwage mchele kwenye kuku wengi
Nijibu hizo msg nilizokutumiaWahi mwenyewe huko piemu mwendo wamateka
Ninahitaji Swahiba....Nina tiketi 5 , na jezi original 4 za jmosi kwenda uwanjani mwenye kuhitaji aniambie ...