Can you tell me who are you? Unajihusisha na nini? Au umebase kwenye nini? Au upo hapa kuwakilisha nini? Na picha unazoweka zinamaanisha nini?
UNAJUA SIPENDI KUWA MNAFIKI, NDOMANA NIMEKUULIZA MOJA KWAMOJA

Stunter, Stunter unanichekesa sana sana ndugu yangu! Mimi ni mfanya biashara za aina nyingi, na picha ninazoweka ni za ancient GODS...Tafuta hichi kitabu utaelewa zaidi