hhaaa jamani sobhuzaKizungu kigumu sana, hapo nimeambua neno 'like' kwa kuwa nalionaga humu JF, na neno 'ball' ambalo nililisikia kwenye semina pale TFF.
hhaaa jamani sobhuza
Hutaki, au?
Mkwe!! Ameogopa kuamini
Ina maana mimi siaminiki ivo mkwe?
Mie hadi nimekupa binti yangu ina maana nimekuamini, Shaka ondoa