Meno yangu hayajapangika vizuri

Lawkeys

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
1,118
287
Nina tatizo la Meno.
Meno yangu hayajapangika vizuri, kiasi kwamba yanaathiri muonekano wangu.

Naomba ushauri jinsi ya kurekibisha tatizo hili. Nimeona watu wakiwa wamevaa nyaya kwajili ya kurekebisha tatizo hilo. Hapa Tanzania hiyo huduma inapatikana wapi na gharama gani? Pia, kama kuna alternative nijulisheni.

Ninatanguliza shukrani!
 
Back
Top Bottom