Meno ya kuungua

Meno ya kuungua

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Wazungu walipoenda Marekani walishangaa kukuta sehemu fulani watu wameungua meno na kuwa ya kahawia. Wakaanza kufanya utafiti wakagundua kuwa maji ya eneo lile yana flourine kwa wingi sana. Kwahiyo wakitaka kuishi sehemu wakawa wanapima vitu vilivyopo kwenye maji.

Kitu kingine kilichowashangaza ni kuona watu wale hawapati kabisa matatizo ya meno. Wakagundua kuwa ile flourine inafanya meno kuwa imara sana. Kuanzia hapo wakaanza kuongeza kiasi kidogo cha flourine kwenye dawa za kusafishia meno. Hivyo kama mtoto anamezameza sana toothpaste anaweza pata hii shida.

Hiii shida hutokea utotoni meno yanapokuwa. Hadi miaka nane hivi mtu ndiyo anaweza kuathirika. Hii ishu haina tatizo lolote zaidi ya kuharibu tabasamu.
 
Sawa haina shida

hawa wazungu hawatutakii mema

By the way dawa ya kusafisha meno hayo ni ipi
 
Sawa haina shida

hawa wazungu hawatutakii mema

By the way dawa ya kusafisha meno hayo ni ipi
Tiba nyongi huwa nikuficha rangi kama vilr kubandika coat jeupe ambalo hushikana na meno. Au kuvalisha meno vitu.
 
Back
Top Bottom