MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 847
Ndiyo maana bongo karibia kila mtu mwizi halafu ufisadi ni sifa!
80,000 kwa mwezi hapo Dar mtu anaishi vipi?Tena amefanya hapo kwa miaka 15?Ama labda kuna other benefits?
wenyewe kwa wenyewe.....
Sina uhakika kama akina Petro na Paul wanafanya kazi hapo.
Ndiyo maana bongo karibia kila mtu mwizi halafu ufisadi ni sifa!
80,000 kwa mwezi hapo Dar mtu anaishi vipi?Tena amefanya hapo kwa miaka 15?Ama labda kuna other benefits?
Kuna watu wanaishi hiyo bongo umayoisema na hawana kazi ww unashangaa mtu anayelipwa 80,000?
wenyewe kwa wenyewe.....
Mimi nazungumzia wenye kufanya kazi na ambao wame earn the right to get paid.Joblessness ni another topic.Sawa wakusoma?umenisoma?Kuna watu wanaishi hiyo bongo umayoisema na hawana kazi ww unashangaa mtu anayelipwa 80,000?
Watanzania wanaonewa kwenye nchi yao .. Hakuna haki.. Hakuna pa kukimbilia .. Hadi tembo nao hawana pa kukimbili labda waende kenya
Bakhresa fukuza meneja huyo anakuharibia sifa yako