Huyu Mzee ni mmoja wa walioifilisi benki ya NBC miaka ile kwa kuchukua mikopo bila kurudisha ikiwemo Import Support. Ni mtu anayependa kukimbilia kweny public ili imsupport kwa kutumia uzawa nk. Ni hatari sana huyu mzee, akigombana na mtu anakimbilia kwa umma umuonee huruma wampatie public sympathy. Mfano ugomv wake na DTV, Manji, Masilingi, na wengine wengi tu.