Viongozi wetu hawa??? Wapimwe akili zao........tumechoka!!!!!!!!!
Siku hizo kadi ya CCM ni kama lulu, ukifikiria chama kilianzishwa mapema mwaka huo huo,kuipata ilikuwa kwa mbindeMzee wetu Mengi alichelewa sana kujiunga CCM( April 1977). Hakupita hata JKT nini?
Siku hizo kadi ya CCM ni kama lulu, ukifikiria chama kilianzishwa mapema mwaka huo huo,kuipata ilikuwa kwa mbinde
Kwa mantiki hiyo hiyo, utakuta Mengi ni mwanachama wa Chadema, TLP, NCCR Mageuzi, Mtikila's Party (jina lake limenitoka) etc. Na uanachama wake katika vyama hivyo pia unajulikana katika ngazi za juu tu
tk
This is a pumba of the day!
Hiyo ndio Tanzania yetu, where leaders on the frontline, dare to talk boldly only to think later on!Siyo Kilumbe tu, tukiomba wanajamvi walete quotes za viongozi kuropoka then next day baada ya kufikiri wanasahihisha utashangaa. Kama unakumbuka any of those confusing statements rusha hapa. Tunaanza na Kilumbe, who is next? Kazi kwenu wanajamvi
2.
3.
4.
5.
6.
Hii inaonyesha kuwa uanachama wa Mengi ni wa siri na unajulikana katika ngazi za juu tu.
Kwa mantiki hiyo hiyo, utakuta Mengi ni mwanachama wa Chadema, TLP, NCCR Mageuzi, Mtikila's Party (jina lake limenitoka) etc. Na uanachama wake katika vyama hivyo pia unajulikana katika ngazi za juu tu.
Kuthibitisha hilo, mtakumbuka hadithi za fedha za Chadema zilizocheleweshwa njiani wakati wa chaguzi ndogo, jinsi Mtikila alipopewa fedha ili afungue shauri mahakamani kuhusu mgombea binafsi etc etc.
Hili la CCM imebidi liwekwe wazi kwa sababu viongozi wa kati wa CCM walifyatuka bila kucheki kuhusu uanachama wa Mengi na maji yakawa tayari yamemwagika ama sivyo wala watu wasingejua kwa uahakika uanachama wa Mengi CCM.
Na kwa kuwa CCM ndio chama tawala ni lazima Mengi awe katika good books with it ama sivyo mambo yake yanaweza kuharibika.
tk
This is a pumba of the day!
Du! nimecheka sina mbavu!!! JF inafurahisha.
Na kwa kuwa CCM ndio chama tawala ni lazima Mengi awe katika good books with it ama sivyo mambo yake yanaweza kuharibika.
Junius yuko wapi?
Njoo hapa nikwambie kwa sauti - a toldgu (i told u)
Hahaha Next time toa thanks!
Ndiyo tatizo la kuropoka bila hata kufikiri. the so called Kilumbe Ng'enda hii si aibu kwako sasa? unakurupuka tu ili kuwafurahisha mabwana/ watwana wako ona sasa ulivyoaibika!
Ashakum si matusi; hata anayetaka kutoa ushuzi huangalia na kuhakikisha mazingira kama yanaruhusu, hawezi kutoa ushuzi hovyohovyo kama huu wa Kilumbe, 'Ooo Mengi siyo mwanachama oo orodha ya matawi yote ninayo n.k Unafaa kweli kuwa katibu wewe?