Mengi na gesi ya Mtwara


Hebu lamba laiki yako kwakweli
 

Hydrocarbons exploration ni kama unacheza pata potea na siyo mtu kukurupuka tu na kusema ana vgezo kumbe hana na huchukua muda si chini ya miaka 8 kutafuta tu,,hapo bado hujapita stage zingine kama vile appraisal na development b4 hujaanza production na stage hizo zote ni mabilion ya dola so cyo ktu simple ka tunavofikiria,,,,unaweza ukafanya exploration halaf ukatoka kapa na ikawa hamna hydrocarbons na mwisho wa siku ukafa maskin tu na hasara juu
 
Huko nako ameshaenda danadana tu we unadhani mpaka analalamika huko hajafika? Na kilimanjaro hotel alitakiwa aende TPDC pia? Wamezidi kumfanyia chuki huyu bwana mpaka watu wa kawaida tunastuka

Kama ameenda basi hajakidhi vigezo
 
You dont know what you are saying. Hizo ndo unaona hela za kuwekeza kwenye gesi

Aksante kwa kumsaidia mkuu akatafute mtu mwenye taaluma kidgo tu kuhusu hydrocarbons aone stages zile za exploration hadi production ni avrg ya miaka mingapi na ni gharama gan znatumika hapo
 
Amepewa vingapi ameishia kuuza na kufanya udalali na kudanganya watanzania kwa misaada ya pipi. Kuwa makini na unacho danganyiwa kili kitu niko wazi Kwanini asiende kuchukua kitalu? Anaishi kulalamika kwenye media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…