Tatizo kubwa la mengi ni utaratibu wa kulipana maslahi ambao
1. Unapata mshahara kulingana na nani alikuleta IPP media
2. Mshahara unakuwa mdogo na posho kiasi kikubwa
3. Kadri unapozidi kukaa IPP kiasi cha posho kinapungua
4. Malipo unapata kwa mafungu mafungu
5. Mengi kila siku anaonekana katika TV akitoa misaada wakati mishahara kwa wafanyakazi wake ni mgogoro
6. Ukabila ni kigezo kimojawapo cha kupata kiwango cha mshahara