Mengi anatisha


Hii Habari niliisikia Juzi kwenye vyombo vya habari hila anauza hisa zake kwa wafanyakazi wake then ndio atawalipa pesa hyo na ana wafanyakazi zaidi ya 900 na ushee!!
 

Hongera sasa kwakulipwa hizo TSH: 450,000! Lakini nakusikitikia sana angalia hapa chini:

Total-450,000.
Kodi ya nyumba kama sikosei unaishi vyumba viwili: Sh: 40,000 kwa mwezi.
Usafiri wa daladala kwa siku kwenda na kurudi siku 27 ndani ya mwezi: Sh: 16200
Budgeti yako ya kula kama sikosei unafamilia ya watu watatu, mke na watoto wawili kwa mwezi: 200000
Matumizi ya dharura kwa mwezi: kuugua na mambo mengine ya ziada: 150000.
Natumaini unasimu ya mkononi fanya kwasiku unatumia dola 2 sawa na Sh 2000 x 31 = 62000.

Jumla ya gharama zote hapo juu ni Sh 468200! Hongera sana kwakulipwa Sh 450,000:clap2:
 
BIG UP MENGI, inaonekana amesikia madongo na makelele yaliyokuwa yanatolewa na watu kwamba yeye ni bingwa wa kutoa misaada lakini anawapunja sana wafanyakazi wake mishahara.
 

no money is enough lakini at least itasaidia punguza shida ndogondogo kuliko mshahara wa awali waliokuwa wanalipwa.

vilevile usibeze mishahara au kipato cha wengine.

Anastahili kupongezwa wka kusikia kilio cha wafanyakazi wake.
 

Mkuu Ndallo,

450,000/=

NSSF Contribution = 45,000/=

PAYE = 45,000/=

Balance = 360,000/=

Baada ya hapo weka gharama nyingine.

Hiyo 450,000/= ni Basic salary bado makato kama hayo niliyokuonyesha ambayo yako kwa mujibu wa sheria za nchi.Zipo kodi nyingi eg SDL ambazo mwajiri anawajibika kuzilipa lakini PAYE na michango ya NSSF mwajiriwa [mfanyakazi]anawajibika kuzilipa.


 
At least He is moving in the right direction
 


Mkuu acha ulongo.. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.. Hyo Barrick ndo mimi nipo, mgodi gani wanaolipa 350,000?? Hyo ilikuwa zamani sa ivi wamepandisha, ni 400,000/= na huo ni mshahara mkuu, ukijumlisha na marupurupu kama hela ya usafiri, muda wa ziada, nyumba n.k unapata mshahara mchafu (gross salary) kama laki 6 na zaidi, ukitoa makato yote unaenda nyumbani na kama laki tano na pointi.. Huo ni wa kuanzia kwa non-proffesions. Japo nakiri bdo tunanyonywa sana na hawa wapuuzi. Kwa kazi ya mshahara huo mzungu anachukua more than 10m.. Ndo CCM hao wanataka ivo!

So kama IPP media hyo laki nne na nusu ndo basic na gross basi bado huwezi linganisha na Barrick. Ina maana makato ya pension fund na Paye wataondoka na kama laki tatu na nusu.

Hongera Mengi hata hvyo umeonesha mfano, Mungu akubariki sana na sana!
 

Duh yaani hata huruma huna???
 
Ndallo we unataka kazi ikumalizie shida zako zote?
Hujui more money more problems.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…