Meneja wa kampuni kubwa Somalia auawa na ndege zisizo na rubani za Marekani

Kama wao wenyewe huwa wanakiri na kuuwa raia wasiokua na hatia kwa kutumia drone ww ni kama nani unapinga kuwa hawauwi raia wasiokua na hatia? Unafkiri hio drone ikishambulia sehemu inatambua sura kwanza ndio inashambulia? Kwa taarifa yako drone nyingi za marekani zaidi zinauwa watoto na akina mama ambao hawana hatia, UKITAKA USITAKE MAREKANI NDIO MAGAIDI NAMBA 1 DUNIANI KWA KUUWA WATU NA KUSABABISHA MAKUNDI YA KIGAIDI.Ni nani asiejua kuhusu hilo, Marekani ni wanyama tu

Sent using Jamii Forums mobile app


Yani mwafrika akili zake dah mtihani sana. Ni wachache sana wanaojielewa,,, Hapo ongezea na corona wamelitengeneza marekani wenyewe na kusababisha maelfu ya raia wasio na hatia kuuawa na uchumi kuporomoka duniani,,,mpaka Afrika na nchi za kiarabu janga hilo limewafikia,,,mafuta yameshuka na kufikia dola 40 n something

Ugaidi + Corona=Marekani
Ugaidi=Israel na Marekani
 
Naona asilimia kama sabini ya comments ni za mleta mada mwenyewe, yamkini unatumia ID tofauti basi,

Una chuki mno na Mmarekani, wewe tulia haohao unaowachukia bado unatumia teknolojia zao karibu zote

Sent using Jamii Forums mobile app


Wewe usie na chuki na mashoga na kuwachukia wasio mashoga ndio hao hao wametengeneza corona virus na kusababisha maelfu ya raia kuuawa nchini china na Iran,,na kusababisha uchumi wa dunia kuporomoka kwa kasi,,gonjwa hilo limefika Afrika tegemea kutukumba na cc huku mjomba ndio utaelewa nani mchawi wako na nani asiekutakia kheri. Na mtanyooka tu
 
Back
Top Bottom