Meneja wa kampuni kubwa Somalia auawa na ndege zisizo na rubani za Marekani

Naona asilimia kama sabini ya comments ni za mleta mada mwenyewe, yamkini unatumia ID tofauti basi,

Una chuki mno na Mmarekani, wewe tulia haohao unaowachukia bado unatumia teknolojia zao karibu zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka watu wote wacomment kitakachokufurahisha wewe? naona umeamua kua mbunifu wa kujifariji kwa kuamua kujiaminisha kua eti comment zote ni za mleta mada,ila kama inakupa nafuu endelea tu kujiaminisha hivyo.
 
Kama wao wenyewe huwa wanakiri na kuuwa raia wasiokua na hatia kwa kutumia drone ww ni kama nani unapinga kuwa hawauwi raia wasiokua na hatia? Unafkiri hio drone ikishambulia sehemu inatambua sura kwanza ndio inashambulia? Kwa taarifa yako drone nyingi za marekani zaidi zinauwa watoto na akina mama ambao hawana hatia, UKITAKA USITAKE MAREKANI NDIO MAGAIDI NAMBA 1 DUNIANI KWA KUUWA WATU NA KUSABABISHA MAKUNDI YA KIGAIDI.Ni nani asiejua kuhusu hilo, Marekani ni wanyama tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuua raia sio shida wala tatizo,tatizo ni kuwa hawaui raia kwa kukusudia kama al shabaab unaowatetea wewe.Leo kutokana na dini hadi Al- shabaab unatetea,upuuzi mtupu.Hao raia wanauawa sio target ni sawa na mchezaji kupiga mpira ukatoka nje ya uwanja ukavunja mkono shabiki sasa hapo utasema mchezaji amedhamiria kuwavunja mashabiki?
Kuua kiongozi mmoja wa alshabab na raia nane sio mbaya kuliko kumwacha akasurvive baadae akaua raia 148 na uharibifu wa miundombinu.
Kwa hiyo hiyo hakuna kosa hapo kwa US chuki zako zisihamishe mada kuwa aliyeuawa ni raia mwema ikiwa hata wewe tu humjui vizuri wala huelezi ni nani aliyeuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona matapishi yako hayo, eti unasema kuuwa sio tatizo, nikikuambia ww ni KIAZI kikuu basi uamini, sasa utazulumu vp nafsi ya mtu alaf useme sio tatizo, inawezekana ww ni miongoni mwa magaidi au unatetea ugaidi na unyama, pia ww ni kiazi kwa sababu mm sikuongea dini apo juu, hio dini umeileta ww, kumbe akili yako yoote ipo kwenye dini ndio maana unaleta uharo huo, usije kusema tena kuwa kuuwa raia sio shida wala tatizo otherwise utakua ww ni gaidi ama unatetea ugaidi

Back
Top Bottom