Meneja wa Diamond, Babu Tale mbaroni

Meneja wa Diamond, Babu Tale mbaroni

Baada ya Uchunguzi kukamilika kitengo cha Uhalifu wa makosa ya mtandaoni kimemkamata Meneja wa msanii Diamond maarufu kwa jina la Babu Tale kwa kuhusika kusambaza video ya udhalilishaji kwa msanii wa kizazi kipya Nandy.
Unajua huku ni wapi?
 
Ungeanza alipoanza kukamatwa udaku tz,

akawataja sallam.na tale ndio walimpa video asambaze
 
Achukuliwe hatua kali kwa kuidhalilisha familia ya Nandy, ila sio Nandy, maana Nandy alijidhalilisha mwenyewe pindi alipojirekodi akiwekwa vidole sehemu mbaya
 
Mh! Si Nandy amesema video imemuongezea umaarufu?

Na ile ya Diamond nani aliipost, amekamatwa au uchunguzi unaendelea?
 
kwa umri ule babu tale wakusambazaga picha za hovyo? aibu hii mm mwenyewe niliifuta ilipopostiwa kwenye grup
 
Back
Top Bottom