Meneja wa bwawa la Mtera akanusha bwawa hilo kupungua maji

Hivi hawa watu huwa wanawasilina au kila mtu anaonyesha uwezo wa kutumia shoshomidia
Ni aibu kubwa sana leo hili kesho lile
 
Hata hivyo waziri hakutaja Mtera kushindwa kuzalisha umeme kwa kukosa maji,nilivyosikia mimi ni kidatu na Kihansi.
Tujaribu kujua ukweli kabla ya kutoa kauli za kutukana mtu
 
Tumeanza kuwa mafundi wa TANESCO sasa kuwaamulia cha kufanya looh nchi hii bwana kila mtu mtaalamu.
 
Hata hivyo waziri hakutaja Mtera kushindwa kuzalisha umeme kwa kukosa maji,nilivyosikia mimi ni kidatu na Kihansi.
Tujaribu kujua ukweli kabla ya kutoa kauli za kutukana mtu

Ni kweli mkuu mvua huwa zinanyesha kwa upendeleo saa nyingine…
 
Nikiangalia hii clip, namuona waziri kasimama pembeni ya huyo meneja, nahisi kuna shinikizo fulani hivi la taarifa hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…