Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,702
- 3,838
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOYaani wilaya hii hayaishi masaa 24 bila imeme kukatika
Hii ni hasara kwa watumiaji ila zaidi serikali haipati mapato ya kitosha
Jamani simjui meneja huyo ila amechoka nashauri apumzike ije nguvu mpya yenye ubunifu,huyu anafanyakazi kwa mazoea
Halafu na CITIZEN la jana umelisoma? M&P wanaweza wakasitisha upelekaji wa gesi kwa vile serikali inadaiwa hela nyingi na hawa jamaatatizo sio meneja wa tanesco kilwa BUT tatizo lipo pale somanga power plant ambapo napo tatizo SIO meneja but uchakavu wa mashine za kuzalisha umeme. Mashine zinarun below capacity kutokana na kutofanyiwa matengenezo kwahiyo lawama ziende pale mjengoni ubungo sababu wanataarifiwa juu ya ubovu wa mashine but wanapuuzia.
Mbali kutoka wapi?Kusini napo mbali sana.Chukueni umeme Msumbuji
Mbali kuliko tabora?Kusini napo mbali sana.Chukueni umeme Msumbuji