Meneja tanesco arusha unafanya kazi au umelala?

Meneja tanesco arusha unafanya kazi au umelala?

Aliccia

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Leo ni siku ya tano wakazi wa Moshono CR mpaka darajani hatujaouona umeme!!! Hukutoa hata taarifa kama kutakuwa na katizo la umeme.
Tunakuomba meneja uchukue hatua kumaliza hili tatizo.


Nawakilisha.
:angry:
 
Meneja gani Hugo anatoa Umeme utakuwa unachajiwa nyuma
 
unakurupuka mkuu. mafundi waliokuja kuchukua transfoma walisema ni matengenezo madogo tunashangaa ni wiki sasa huu sio mgao ni uzembe tu wangetutangazia tuelewe.AU meneja ni wewe?
 
Hajaaa hi jf bans m kidampa tummkuu
 
Soler ni mwisho wa matatizo. Mimi na tanesco sitaki mazoea.
 
Back
Top Bottom