BuletAngle
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 688
- 558
Hakika shekhMpaka 2020 tutakuwa kama Zimbabwe ya Mugabe kiuchumi
Hakika shekhMpaka 2020 tutakuwa kama Zimbabwe ya Mugabe kiuchumi
Hapana sharia ya ajira ya mwaka 2004 9 Employment and labour Relation Act of 2004 hairuhusu mtuhumiwa kuhukumiwa kana kwamba ameishatiwa hatiani . Hivyo bado meneja huyo ni mtuhumiwa tuu hadi atakapotiwa hatiani ndiyo sababu bado yupo ofisiniSheria za kazi haziruhusu mtu aliyeshtakiwa jinai awe ofisini hadi hukumu itoke
Anatakiwa akae pembeni kwa nusu mshahara mpk kesi itakapoishaHapana sharia ya ajira ya mwaka 2004 9 Employment and labour Relation Act of 2004 hairuhusu mtuhumiwa kuhukumiwa kana kwamba ameishatiwa hatiani . Hivyo bado meneja huyo ni mtuhumiwa tuu hadi atakapotiwa hatiani ndiyo sababu bado yupo ofisini
Nusu mshahara ilikuwa kwenye sharia ya zamani Security of Employment Act of 1964 , Lakini kwenye Employment and Labour Relation Act no 6 of 2004 inataka alipwe hadi case iwe determined and convictedAnatakiwa akae pembeni kwa nusu mshahara mpk kesi itakapoisha