Meneja mradi SGR Lot 1 Ndugu Machibya Masanja akielezea Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa -SGR

Haya ndiyo yanayotakiwa kufanywa na mashirika na taasisi za Serikali kuwa na akaunti humu na kureact dhidi ya hoja zinazoelekezwa kwenye sekta zao.

We can no longer afford to ignore social media and to remain sticking to just traditional media. Dunia imebadilika wazee. Wengine sasa hivi wanaziendesha Nchi zao kupitia mitandao ya kijamii.

Trump, japokuwa amekuwa a bit more extreme, amekuwa akitoa matamko official ikiwemo kuwa-fire Viongozi kupitia akaunti zake za mitandaoni.

Fungueni akaunti JF Pliz!!
 
Back
Top Bottom