Waliompiga utakuta ndo matapeli wanaochukua vizimba na kulangua watu. Tena angeongeza force kabisa na wale wamachinga wenye kupanga bidhaa chini waondolewe. Ni lini hii nchi itakuwa ya utaratibu sasa? Wenzetu kenya wana east leigh, ukienda hapo nguo za kichinga na mabegi ya kumwaga, unashop nusu saa unaondoka zako! Waswahili utapeli umezidi!