hapa kilicho fanyika ni kukumbusha sheria za Nchi zinasemaje kuhusu kujenga jamii iliyo fikia civilization ya aina kama yetu. kwani si unaweza ukajenga kanisa na ufanya mahubiri hukohuko kanisani? mbona ulaya na marekani wameweza? hakuna kitu kizuri kama kuwa na utaratibu kamili katika jamii.Siku mbili zilizopita vyombo vya habari vimeripoti kwamba NEMC imetangaza kwamba kuanzia sasa mirindimo yoyote na kelele zozote zinazohusiana na sherehe, matangazo, sauti kubwa kutoka majumba ya starehe, magari ya poromosheni, makanisani yatakuwa yanalipiwa shilingi milioni 5 hadi milioni 10. Na kwa yule atakayekiuka atatozwa shilingi milioni 50 ama kufungwa jela.
Kiuhalisia, hakuna kanisa ambalo litaweza kulipa shilingi milioni 5 kwa mkutano wa Injili ya Kristo kwa siku moja hata ingekuwa kwa mwezi. Kwa maana nyingine makanisa yamefungwa speed governor ya kutangaza Habari Njema za Ufalme wa Mbinguni.
Chini ya utawala huu wa awamu ya tano, iwapo NEMC watatekeleza hiyo sheria yao, basi Habari Njema za Ufalme wa Mbinguni zitaadimika kwa kiasi kikubwa.
Historia ya kanisa inaonesha kwamba yeyote aliyejaribu kuzuia makusudi ya Mungu wa mbinguni, mtu huyo aliondoshwa kabla kusudi hilo halijapotea. Mfano mzuri wa Biblia ni ule wa mfalme Herode ambaye tunasoma habari zake katika kitabu cha Mathayo sura ya pili.
ANGALIZO: Wote wenye mamlaka tufahamu kuwa mamlaka kuu ni ya Mungu wa Mbinguni; tuelewe kwamba hakuna atakayenyoosha kidole karibu na mboni ya jicho la Bwana akanusurika, mfalme Belshaza wa Ukaldayo; dola iliyokuwa ikitawala takribani dunia nzima; alijikinai akidhani ni mkuu mno mwenye kuweza kuchafua na kunajisi vyombo vya hekaluni kwa Mungu. Mungu alimfutia ufalme wake akaugawa kwa Waajemi na Wamedi. Daniel sura ya 6.
Mbona Kagame hajaondoshwa Rwanda?? tuache kuishi hovyo hovyo kwani neno la Mungu ukilifwata kanisani au msikitini hua halieleweki?? mpaka uende kwenye makazi ya watu usiku wa manane kuhubili,hata nyumbu huishi kwa mpangilio mbugani.Siku mbili zilizopita vyombo vya habari vimeripoti kwamba NEMC imetangaza kwamba kuanzia sasa mirindimo yoyote na kelele zozote zinazohusiana na sherehe, matangazo, sauti kubwa kutoka majumba ya starehe, magari ya poromosheni, makanisani yatakuwa yanalipiwa shilingi milioni 5 hadi milioni 10. Na kwa yule atakayekiuka atatozwa shilingi milioni 50 ama kufungwa jela.
Kiuhalisia, hakuna kanisa ambalo litaweza kulipa shilingi milioni 5 kwa mkutano wa Injili ya Kristo kwa siku moja hata ingekuwa kwa mwezi. Kwa maana nyingine makanisa yamefungwa speed governor ya kutangaza Habari Njema za Ufalme wa Mbinguni.
Chini ya utawala huu wa awamu ya tano, iwapo NEMC watatekeleza hiyo sheria yao, basi Habari Njema za Ufalme wa Mbinguni zitaadimika kwa kiasi kikubwa.
Historia ya kanisa inaonesha kwamba yeyote aliyejaribu kuzuia makusudi ya Mungu wa mbinguni, mtu huyo aliondoshwa kabla kusudi hilo halijapotea. Mfano mzuri wa Biblia ni ule wa mfalme Herode ambaye tunasoma habari zake katika kitabu cha Mathayo sura ya pili.
ANGALIZO: Wote wenye mamlaka tufahamu kuwa mamlaka kuu ni ya Mungu wa Mbinguni; tuelewe kwamba hakuna atakayenyoosha kidole karibu na mboni ya jicho la Bwana akanusurika, mfalme Belshaza wa Ukaldayo; dola iliyokuwa ikitawala takribani dunia nzima; alijikinai akidhani ni mkuu mno mwenye kuweza kuchafua na kunajisi vyombo vya hekaluni kwa Mungu. Mungu alimfutia ufalme wake akaugawa kwa Waajemi na Wamedi. Daniel sura ya 6.
Hapana...hao watalalamika na kuzua chaos, hivyo wao wataendelea kama kawaida. Ila hawa wengine si walalamikaji ni wazee wa kugeuza 'shavu lingine' hivyo ni rahisi kuwadhibiti.Jee hii inahusiana na ile adhana ya misikitini kabla ya sala za alfajiri na Ijumaa? Kama ndio basi tutegemee msuguano mkubwa utakao tokea
Siku mbili zilizopita vyombo vya habari vimeripoti kwamba NEMC imetangaza kwamba kuanzia sasa mirindimo yoyote na kelele zozote zinazohusiana na sherehe, matangazo, sauti kubwa kutoka majumba ya starehe, magari ya poromosheni, makanisani yatakuwa yanalipiwa shilingi milioni 5 hadi milioni 10. Na kwa yule atakayekiuka atatozwa shilingi milioni 50 ama kufungwa jela.

WEWE NI MNAFIKI MKUBWA UNAYESIMAMA NA NGOZI YA UKRISTO. NINAKUKEMEA KTK JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH USHINDWE. NA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ILIYOMWAGIKA MSALABANI KWA AJILI YA WENYE DHAMBI IKAFUTE LAANA ULIYOIACHILIA KWA RAIS WETU KIPENZI DR. JPM
UNAFIKI NI DHAMBI KUBWA SANA CHINI YA JUA!!!!!!
WEWE NI NANI HATA UMWAMBIE RAIS WETU UFALME WAKE UMEFIKA MWISHO!!!! UNA USAFI GANI HAPO ULIPO HATA UFIKIE KIWANGO CHA KIROHO CHA DANIEL. SITAKI KUYAWEKA MAMBO YAKO HUMU ILA NAKUONYA USIRUDIE TENA KUFANYA USHETANI HUU!!!
MKRISTO ALIYEJAZWA ROHO MTAKATIFU NGUVU YAKE IKO MAGOTINI. ULIMI WAKO UMEJAA LAANA BADALA YA BARAKA. HIZO LAANA ZIKURUDIE NA KUWA KAMA VAZI MAUNGONI MWAKO. WAKRISTO WENZIO WANAFUNGA NA KUOMBA KUMUOMBEA MHE. RAIS KTK MAENEO YOTE WEWE UNAACHILIA LAANA????? SHAME ON YOU!!!!!!! UMEISOMA VIZURI HIYO SHERIA NA KUIELEWA????
HIVI INJILI NI LAZIMA IHUBIRIWE KWA KUPAYUKA????? MIAKA ILE WAKATI TUNAOKOKA INJILI ILIKUWA MAN TO MAN. HUPANDI DALADALA AU BASI AU NDEGE NA KUFIKA UPANDE WA PILI BILA KUMSHUHUDIA MTU. WEWE LEO HATA JIRANI ZAKO NA UNAOFANYA KAZI NAO WANATILIA MASHAKA WOKOVU WAKO MAANA MATENDO YAKO HAYAFANANI NA NENO LA KRISTO!!!
INJILI YA LEO INA WAPIGA DEAL WANAFIKI WAKUBWA NA WAFANYABIASHARA. HIYO NI DALILI YA MAFARISAYO. UNGEKUWA UNA ROHO WA BWANA WEWE UNGEKAA MAGOTINI NA KUJUA TZ INAPITA KTK MAJIRA GANI YA KIROHO!!!!
UMENIUZI SANA KWA JINSI ULIVYOKOSA HEKIMA!!!!!! NA MANENO MABAYA ULIYOYATUMIA KWA RAIS WETU HALAFU UNAJIITA MKRISTO a.k.a FARISAYO
NAOMBA MLIONIELEWA MUMPUUZE HUYU FARISAYO NA MSIACHE KUMUOMBEA RAIS WETU. MAOMBI YAONGEZEKE BAADA YA KUMUONA ADUI WA NYUMBANI MWETU.
MUNGU AKULINDE RAIS WETU (Zakaria 4:5). UKAFANYIKE BARAKA KWA TAIFA LA TZ NA KWA WATANZANIA WOTE MUNGU ALIOWAWEKA MIKONONI MWAKO. HEKIMA KAMA ZA MFALME SULEIMAN ZIENDELEE KUTIRIRIKA KUANZIA KICHWANI MWAKO NA KUSHUKA KAMA MAFUTA NDEVUNI MWA HARUNI HADI KWA WATU WAKO. (ZABURI 41:1-2).
Queen Esther
Mbona ukifika airport watu wamejaa saa kumi za usiku bila kuamshwa wala kupigiwa kelele? Mbona maelfu ya wanafunzi wanafanya mitihani yao? Mbona mnapotoa michango ya harusi hamkumbushwi kwa magari ya matangazo? Acheni kujificha katika dini ili kufanya upuuzi usiomithilika, kama huamini huamini tu, nani kawatangazia mkusanyika kunywa pombe na kupiga kelele mkesha wa mwaka mpya, usisingizie watu kama huna utashi huna tuSiku mbili zilizopita vyombo vya habari vimeripoti kwamba NEMC imetangaza kwamba kuanzia sasa mirindimo yoyote na kelele zozote zinazohusiana na sherehe, matangazo, sauti kubwa kutoka majumba ya starehe, magari ya poromosheni, makanisani yatakuwa yanalipiwa shilingi milioni 5 hadi milioni 10. Na kwa yule atakayekiuka atatozwa shilingi milioni 50 ama kufungwa jela.