Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 624
- 408
Mgonjwa kapimwa kwa X-ray ikaonekana ana mende kifuani.Mchango ukapitishwa kauza mali zake zote kaenda india kufika kule X-ray za india zikaonesha hakuna mende kifuani.
KUMBE MENDE ALIKUWA NDANI YA X-RAY MASHINE .
KUMBE MENDE ALIKUWA NDANI YA X-RAY MASHINE .