Mende!! Mende!!

Mimi nasumbuliwa na mijusi, l have no idea what to do.
 
heheheheheh mende wale wadogo usishangae ukawabeba hadi kwako......au ukiwa na mashosti ndo wanaibuka...... wakati fulani ofisi fulani niliamua kupulizia expel kila jioni baada ya malalamiko yangu kuona hayafanyiwi kazi sijui itakusaidia????
 
asante mkuu! Ni rungu tu au yoyote tu?
 
heheheheheh mende wale wadogo usishangae ukawabeba hadi kwako......au ukiwa na mashosti ndo wanaibuka...... wakati fulani ofisi fulani niliamua kupulizia expel kila jioni baada ya malalamiko yangu kuona hayafanyiwi kazi sijui itakusaidia????

aibu sana mwenzangu!
 
Fumigation iwe ni mara kwa mara ili vile vimende vidogo viwe vinakufa kabla ya kutaga mayai. Pia kuzingatia usafi, msiache mabaki ya chakula yalale ndani. Pia msiache vyombo vichafu.
 
Jamani mm nina shida na panya plz assist
 
Fumigation iwe ni mara kwa mara ili vile vimende vidogo viwe vinakufa kabla ya kutaga mayai. Pia kuzingatia usafi, msiache mabaki ya chakula yalale ndani. Pia msiache vyombo vichafu.

mamito, usafi unafanyika sana! Msosi tunalia dining, uchafu unatolewa asubuh na saa tisa! Hatuli chakula kwenye ofice desks! Ni ishu!
 
Shost.... Huwezi kuamini nami nina tatizo kama lako... mbaya zaidi mende wa ofisini kwetu huwa wanaingia mpaka kwenye fridge afu wanafia humo humo!!! Ngoja tuwasikize wadau.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…