Men, why are we paying for sex?

Men, why are we paying for sex?

Jibu swali shemeji.....
Kama tunaifata mbona walalamikaji ni nyie?
Mkuu hapa ndo sielewi, tunafata raha ndio, ina maana nyi wenzetu mishipa ya hisia mshaikata? Kwa hili wanawake mmetuzidia ujanja, ny*ge mnazo lakini you'll be acting like you don't give a damn
 
Hiki kiinglishiiiiiiii, wacha nichepukie huku uswazi tu. Naona buluu tupu hapo
 
Mkuu hapa ndo sielewi, tunafata raha ndio, ina maana nyi wenzetu mishipa ya hisia mshaikata? Kwa hili wanawake mmetuzidia ujanja, ny*ge mnazo lakini you'll be acting like you don't give a damn
Mtaka cha uvunguni.....hutaki sepa
 
sijuh aliye lalama labda wa chama cha chaputa
ahaaaaa tatizo ata id yako uko kuna wahuni teyali wana kaa nayo geto.......wakifanya mambo ya selfie..... wawahi ambiance watoto kibao mwaka huu mikopo itapatikana bugulun pub zote samak samak zote za town kamatia fursa twenzetu........
 
Mi nawashangaa sana wanaume, wanawake wanazidi idadi ya wanaume lakini bado mnahangaika kugharamia papuchi. Je wanaume wangekuwa wengi kuliko wanawake si mngechinjana? Mimi huwa nasubiri wajilete wenyewe gharama zinakuwepo lakini siyo kubwa kama mnavyo wasotea nyie, siku umeipata hadi unaiamkia. Unachotakiwa ni kuwa smart siyo kila anayepita mbele yako unamtongoza
 
Hii ya wanawake kuwazidi wanaume idadi sidhani kama ni sawa mkuu,
 
Hii ndo habari ya mjini na vijijini duniani kote... Hebu tujadilinii je ni kwamba wanaume ndo tuna shida sana au tumewaendekeza tu?

Tuache ujinga there ain't pussy shortage if she won't f*ck another will
Hivi inakuaje unatoa maelfu kwajili ya kei? Lengo si kumwaga tu? Sabuni ya jero unaweza tumia hata zaidi ya mwezi
 
Kwasababu tukisha wa gegeda ...tukiondoka bila kuwapa kifuta jasho wana kasirika.
 
Back
Top Bottom