Abdulhalim Platinum Member Jul 20, 2007 17,193 3,012 Mar 5, 2010 #3 He he he.. Lakini kipya ni kipi hapa?
Abdulhalim Platinum Member Jul 20, 2007 17,193 3,012 Mar 5, 2010 #4 Hivi huyo wa katikati ndo nani vile?
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,725 Mar 5, 2010 #5 Abdulhalim said: Hivi huyo wa katikati ndo nani vile? Click to expand... Kamzidi kitambi hadi bosi wake!..anatakiwa atuhumiwe huyu!
Abdulhalim said: Hivi huyo wa katikati ndo nani vile? Click to expand... Kamzidi kitambi hadi bosi wake!..anatakiwa atuhumiwe huyu!
Abdulhalim Platinum Member Jul 20, 2007 17,193 3,012 Mar 5, 2010 #6 PakaJimmy said: Kamzidi kitambi hadi bosi wake!..anatakiwa atuhumiwe huyu! Click to expand... Kitambi ni kuridhika tu. Huenda ameridhika kwa kuitwa tu 'Mhishimiwa'. Huezi jua.
PakaJimmy said: Kamzidi kitambi hadi bosi wake!..anatakiwa atuhumiwe huyu! Click to expand... Kitambi ni kuridhika tu. Huenda ameridhika kwa kuitwa tu 'Mhishimiwa'. Huezi jua.
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Mar 5, 2010 #7 Kuna nn kipya?? tumezoea kijani na njano bana!! Tusubirie si si je??????
Abdulhalim Platinum Member Jul 20, 2007 17,193 3,012 Mar 5, 2010 #8 Emanuel Makofia said: Kuna nn kipya?? tumezoea kijani na njano bana!! Tusubirie si si je?????? Click to expand... Kweli hakuna jipya, maana hamjazoea mapya.
Emanuel Makofia said: Kuna nn kipya?? tumezoea kijani na njano bana!! Tusubirie si si je?????? Click to expand... Kweli hakuna jipya, maana hamjazoea mapya.
upele JF-Expert Member Mar 3, 2010 364 31 Mar 5, 2010 #9 Maria Roza said: Mhh mie nimeona vitambi tu! Click to expand... kweli ni mijitambi tuu hakuna jipya wamezowea kula vya wizi. homa tele sio kula vizuri short time stree and bp equals death conquest
Maria Roza said: Mhh mie nimeona vitambi tu! Click to expand... kweli ni mijitambi tuu hakuna jipya wamezowea kula vya wizi. homa tele sio kula vizuri short time stree and bp equals death conquest