Hi members and guests!
Jukwaa la MMU limejaa vilio vingi sana za -me na za -ke wengi wanalia kuchezewa rafu kwenye love affairs.
In that game of love mara nyingi a man ndio refa(ndio anaemua atongoze ama aache), ndio mchezaji(a man is a source of love, trust me) ndio mshika kibendera, ndio mshabiki(yeye ndie anaefurahi zaidi, thus why anatoa hela na bado anahangaika kumfikisha . . . . . bila kusahau kubembeleza)
Kinachostaajabisha ni hichi kilio cha -me kilichozidi huku jukwaani kuhusu -ke. Mjitambue you men! mpira upo upande wako tangu kuumbwa kwa ulimwengu lakn mnalialia km watoto ya ndege. Mnakosea kuchagua -ke halafu mnakuja kulalamika, halafu mlalamika kutendwa tu hamlalamiki hata constructively.
Refa unalia, mchezaji unalia, mshabiki unalia, shit!
Wengi wanaolalamika ni wale wanaodhani to be a man is just a given package, no its a challenged package! Its a package you must justify if you dont justify you wil be a man just by INDUCTION! you man never forget this, if u forget this you cry as mtoto ya ndege!
Nyie vilizi mjitambue sasa, mnaboa!