Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Huyo mchepuko lazima nae awe na kidumu, sasa sijui kati yenu nani ataitwa mchepuko. Mwanamke anahitaji mtu wa kumpa support, kuwa karibu nae..sasa kwa hali hii ya no calls, no sms wala whatsapp unadhani atakubali tu kukuangalia? Hapo mzee mnapeana zamu tu na jamaa mwingine, when you're in..someone is out!!
 
zamani walikuwa wanaita VIMADA wa nje ya ndoano.....outside chick......aiseee.....asiwe hivi visungura pori vya 33 down ward.......lazima ibumburuke tuu......
 
Some men real dont know and cant read our minds. Hatueleweki na hatujawahi kueleweka. Yaan unadhani nikakushika halaf ukakana na kuleta sababu luluki nikakuitikia yea kwamba ndo nimemaanisha nimekuamini ama ndo unasema ukweli? Akili ya mwanamke works like a computer. Tukikaa kimya its simply because we are avoiding fights. Musituchukulie hivi poa.
 

Ama kweli we ni Pro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simu zenye clone app ndio zinasaidia. Unaclone WhatsApp kisha unaiweka clone kwenye vault utakuwa unatumia kwa muda wako uko. Tatizo namba ile itajulikana iko WhatsApp ila utaficha last seen na unaikana kwa wasiohusika wala huweki dp
Hakuna haja ya clone! Kuwa na namba mbili tofauti, moja maalum tu kwa ajili ya michepuko, shida iko wapi!
 
Ingia kwenye anga yangu uone kama utagundua kitu.
 
Mwenzenu nimewakosa wengi mno kwa kuwa mkweli, asipouliza nakauka, ila akiuliza tu lazima nimchane kuwa nina mke na watoto kadhaa, akiona infaa kunipa na anipe akiona siyo mpango aachane na mimi,

Ni kwa namna hiyo tu nimefanikiwa kuonekana mwaminifu mno kwa wife

Just sms kuwa naenda home, wote huwa wanaelewa wanabaki kimya mpaka ninapowatafuta

Iga mfano wangu hahahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…