Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Utaalamu wa Mfalme Suleiman huu.

Vigezo na masharti vizingatiwe.
 
Hujakutana na wajuvi wa masuala ya net wewe mi kwenye upekuzi sijui utanidanganya nini(internet protocal niko vzuri mno)ukizubaa nakuhack na nikitaka ni kwa namna yoyote tu , mi nilimwambia h bwashee hvi ,bwana baba m sina mda wa kuhangaika na simu yako we ni mtu mzima na isitoshe nna kazi nyingi za kufanya na nkamwambia we fanya upuuzi wako wote ila nisijue(ananielewa sana tu)
Pili nkamwambia kuna UKIMWI,homa ya ini na mengine siku ukiukwaa huko baba nakwambia utakufa kabla ya siku zako,nkamaliza basi nkamaliza m namwamwangalia tu simu yake nkiwa nashida natoa pattern kama ni mb au dakika natumia nkimaliza naweka hapo
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui kwanini nimecheka
Duh mambo haya Mungu tusaidie
 
Haya maneno na mikwara ulikua unamwambia romantically au umekaza uso?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…