Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Chepukeni tu...mi nadhani michepuko ihalalishwe Sasa...Ukijiona mchepuko jitambulishe kwa mkewake... cutelove

Yanini kufichwa fichwa Kama kikoba chenye cocain
 
uy

Mkuu huyo mchepuko mkalishe chini kwanza mpange vizuri tafuta njia nyingine ya kuchat nae,au muambie muwe mnachat kupitia emails mke wako hawezi kuchunguza kwenye email
 
Mi nlikua napita zangu nikasikia kelele, nikaona nichungulie hapa....
Sijaona mbinu za kijerumani kuficha line kwenye pmb, kuna mchepukaji kweli hapa?!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanajaribu tu, inabidi tuwape mbinu maana mbinu zao za kizembe sana ndio maana wanakamatwa.
 
kama unampenda wifu piga chini mchepuko na kama unampenda mchepuko mpigechini wifu maana naona unampa sifa mchepuko
 
Siku ya kufa miti nyani huteleza. Hata mchepuko uwe na akili vipi iko siku utakupigia tuu ukiwa na mke..wanawake hata wao hawajui kuishi kwa akili zao.
sisi hatujui kuishi kwa akili zetu je nyie mnajua kuishi kwa akilizenu tena nyie ndio mafala maana mgekuwa mnaishi kwa akili msingekamatwa na wake zenu, eti sisi hatujui kuishi kwa akili shenzi kweli wewe mama yako sio mwana mke kwa taarifa ukitukana hata mtoto wa kike ni sawa na umtukana mama yako
 
Yaillah Toba..

Sijui ni kwa nn nimeufungua huu uzi
 
kuna wanawake wafatiliaji zaidi ya efubiai ase yani kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…