Men Talk 3: Mwanaume usizae na mchepuko

Reasons zote ninazosoma hapo na ninazoendelea kuziona hazinishawishi kabisa, watoto wanateseka na singo mazazi
Ndio maana nimesema waje na reasons, nikijua hakuna atakayekuwa na enough reasons kujustify ili swala. Watoto wanapata tabu sana
 
Kuna several factors je kama mchepuko mzuri kuliko mke?
Maana ukumbuke sometimes tunaoa wakati bado pesa hazijatutembelea. Zikishakutembelea sasa ndio unapata ile kitu roho inapenda.
 
Dunia hii ina kila aina ya matukio.

Wakati nasoma huu ujumbe, kuna Dada katoka kuniomba ushauri. Yeye ni mke wa mtu na mume wake amesafiri kikazi huu ni mwezi wa tatu yupo Mkoa mwingine. Dada amechanganyikiwa ametoka kupima amekutwa ana ujauzito. (Ni ujauzito wa mchepuko).

Ushauri niliompa: Nimemwambia aende huko alipo mumewe akamuonjeshe wiki nzima kisha arudi, halafu baadae aje amwambie mumewe kuwa ana ujauzito.

Dada kakubali ushauri wangu, pia ameniambia kuwa hata mtoto wake wa kwanza sio wa mumewe ni wa jamaa mwingine.

Aisee, wanawake Mungu anawaona.
 
Atleast mfano hai kama huu kuna watu wataelewa point yangu. Watoto wa mama tofauti ni ngumu kuwa na umoja unaohitajika.

Mnakuwa mnaonana as if ni watu wa mbali mbali tu.
 
Kuna several factors je kama mchepuko mzuri kuliko mke?
Maana ukumbuke sometimes tunaoa wakati bado pesa hazijatutembelea. Zikishakutembelea sasa ndio unapata ile kitu roho inapenda.
Hakuna umri sahihi wa kuoa. Oa unapoona ni wakati sahihi kwako.

Hata kama mchepuko ni mkali kuliko wife, kwan lazima uzae nae?
 
Sisi wanaume bana.... ukikutana na mjadala kama huu unaona kabisa kwamba kweli kuna mantiki. Tatizo sasa ukikutana na kabinti kamenona, unajikuta tu umeshakojolea ndani huko wala hukumbuki tena mambo ya sijui mtoto sijui nini.. Yaani kuna saa nyingine mtu unajikaza unavaa kondom kabisa, ukifika katikati ya gemu unaivua unatupa kule unasakata kabumbu pekupeku. Mungu tu atusaidie kwakweli..
 
Hiki ndio nazungumzia mimi. Sawa umeamua kuchepuka, sasa ndio lazima upate na mtoto?

Hapo baadae zinakuja kuibuka comflicts za ajabu ajabu.
 
Hakuna umri sahihi wa kuoa. Oa unapoona ni wakati sahihi kwako.

Hata kama mchepuko ni mkali kuliko wife, kwan lazima uzae nae?
Mzeya kusubiri wakati sahihi unaweza jikuta miaka 50 ndio unaoa maana mambo yamekaa level...sasa utaanza kuzaa mtoto wa kwanza na miaka 50?

Ndio lazima nizae nae sasa dem mkali kama jackline kwa nini nisimwagie ndani
 
Ukiwa na moyo wa kujali, kila kitu kinawezekana mkuu.
 
Mzeya kusubiri wakati sahihi unaweza jikuta miaka 50 ndio unaoa maana mambo yamekaa level...sasa utaanza kuzaa mtoto wa kwanza na miaka 50?

Ndio lazima nizae nae sasa dem mkali kama jackline kwa nini nisimwagie ndani
Tatizo lililopo ni kwamba slay queens na pisi kali mnazoziona kwenye tv ndio zinawatoa macho.

Kiatu sahihi hakiwez kukubana. Muda sahihi ni pale unapompata mtu unayeona anakufaa, na sio mpaka uwe na mali nyingi.

Ukiona hadi unakaribia 50 hujapata mtu wa kukufaa, basi tatizo halipo kwao, litakuwa kwako.
 
Eeh obviously tatizo lipo kwangu..sii sina hela bwana ya kupata mrembo nitakye ndio maana.

Wewe bwana mwanamke hapendi mwanamke anaangalia huduma ipo wapi. So na mie naangalia the best papuchi my pocket can allow me to handle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…