Men Nightmare

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
blogger-image-1855334857.jpg



This is every woman's dream and a husband's worst nightmare.
 
Sio kweli,kwani kumsaidia kazi mkeo unageuka mwanamke au ni mfume dume ndio sababu?
 
Thats caring....acheni akili za kwamba house chores ni za mke tu. Hujui huyo mama ni mgonja/amekufa au hata kama ni mzima ndio mojawapo ya contribution ya mwanaume nyumbani baada ya kuleta ugali.
 
labda kama wife awe ana ishu ya maana, lakini si eti aniage anakwenda kusuka ndio nimsidie...!!!
 
Back
Top Bottom