men men men

men men men

Princess Somali

Senior Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
182
Reaction score
66
I hate how men think they are in control

they will talk to you when they feel like it,

they will not talk to you when they dont feel like it,

they will look for you when they feel like it,

when you look for them your desparate,

when you dont unaringa

when you give them what they want your cheap,

when you dont your old fashioned.

confusing huh???
 
Hata huwa hawajui wanachokitaka,
 
Hahahaaaaaa! Dawa yao YOU MAKE YOUR OWN RULES!

Mimi mwanaume akini IGNORE bila sababu za msingi, kajiondoa mwenyewe pasi kushurutishwa na mtu yeyote kwenye kinyanganyiro. And he can NEVER LIKE NEVERRRRR come back! Akija takuta VIOO VIMEFUNGWA NA LOCK!
 
Mtu mmoja hawezi kuwa na tabia zote hizo, just pick the one who matches your preferences.
 
Hichi kichwa cha habari kimenikumbusha wimbo mmoja wa 50 cent unaitwa Men Men wa zamani kidogo...
 
Pole kama yamekukuta, ulidhani mapenzi ya kula ice cream! chezea mwanaume akikutaka atafanya chochote ili atimize lengo lake hafu likitimia wewe ndo utakuwa kama tela yeye kichwa.

I hate how men think they are in control

they will talk to you when they feel like it,

they will not talk to you when they dont feel like it,

they will look for you when they feel like it,

when you look for them your desparate,

when you dont unaringa

when you give them what they want your cheap,

when you dont your old fashioned.

confusing huh???
 
Kwa wale wanaojishaua.. Akileta pozi as long as kuna unachohitaji.. Hold on..ukishapata ATAISOMA!

Kama hakuna akijishaua nawe unaweka pozi..

Akirudi mpe bonge la dharau hadi ajione idiot.. Af imetoka!

Mapenzi sikatai yapo ila jus be selfish! List ur priorities,kama Hupati.. Then it wasnt meant for you! Move On..Its not the end of the World!

Girl, Just Love Urself and be selfish until u get the right one for you.. He will be very different from the others and u'l jus feel it im telling you!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom