we Nchuchu wee unacheza,hayajakukuta,muulize bishanga abashaija.Any grown ass man who gets his ass whupped by his wife should have his 'man card' revoked!
we Nchuchu wee unacheza,hayajakukuta,muulize bishanga abashaija.
Kwa ambao hatujaoa tunahitaji kuwa makini..binafsi kwangu aspect moja wapo ya wife material ni hiyo..is she a potential boxer?If so,then she aint a wife!
sio tu kwamba nshawahi,na mdundaji yuko hapa hapa jf.Mkuu we ushawahi kudundwa na mkeo?
sio tu kwamba nshawahi,na mdundaji yuko hapa hapa jf.
natembea na RB,ajaribu aone.....Tih tih tih..pole sana!
Sasa akija kusoma na kuona umemuanika hapa si atakupa kipondo kingine....au?
natembea na RB,ajaribu aone.....
natembea na RB,ajaribu aone.....
Bishanga leo umelala saa ngapi?
Kwani mnadundwa bila sababu?
Halafu akipigwa mwanamke sawa ile mkipigwa nyie linakuwa tukio!
Hows that?! I say mkileta mambo ya ajabu tutawanyoosha kama kawaida..
Kwani mnadundwa bila sababu?
Halafu akipigwa mwanamke sawa ile mkipigwa nyie linakuwa tukio!
Hows that?! I say mkileta mambo ya ajabu tutawanyoosha kama kawaida..
Kwa hiyo unataka kusema kupigwa na mpenzio kama kuna sababu, ni sawa? Chukulia wewe ukipigwa hata kama umekosa ni sawa?
Unawaza kwa kutumia nini ndugu?
Nadhani hata mwanamke akipigwa ni ishu, hapa tunatakiwa kufahamu kuwa ukatili wa kijinsia ni kosa.
Ila its your choice, we piga mumeo, ukitaka muue kabisa, then utacheka na mkono wa sheria. Kumbuka sheria zipo.
Ila kwangu mimi kabla ya kuomba msaada wa sheria, kwanza naondoa hiyo show yote, meno ya sebuleni utayasikia kwenye radio tu, haina kutabasamu
unaji contradict mwenyewe..