"lara 1; mbona mifano ulitoa inapingana na hoja yako hapo juu!"
SINGLE MOM is a victim of her own making just same as "Sonnet's case" we are discussing.
Why should a girl fall into a love trap!
Why the well to do women live single!
ARE MEN TO BLAME?
falsafa yangu ya maisha ni kwamba "nime ingia dunia mwenyewe na nitatoka dunia mwenyeww, hivyo maisha ni yangu mwenyewe pale ninapoanza kutambua mabaya na mazuri".
Aisee good luck for that. Kuiga kunya kwa tembo nehiiii!!!We kuzaa na watu maana dili kama nini hujagundua tu. Kama huyo ambae bado hajaolewaaa. Anakula bata hatari. MSHAHARA WAKE ANACHEZEA TU. Hana kaziiii nao, kila kitu babydady anasimamia show. Wakwe, mawifi. Na baby dady alivooa kazaa midume tupuuu shoga tu ndo alimzalia katoto ka kike. ILE NAYO BAHATI MAISHANI.
Yani katili, afu ana moods, na kisirani hatariii ila ushoga nae siachi ngooo. Sababu ya baby dadyy! HAHAAAAA. Mtu anakwambia nikusindikize China, nikubebe KGS. Aaaaah! Au nimsindikize South Africa December, anaogopa kwenda mwenywe. WEEEE SHOGA WA HIVO UTAMPATA WAPI MJINI HAPA.
Yani she changed my all perspctive being a single mom. Akijichanganya mjinga yoyote mwenye fedha zake namzali fastaaa.
AFUU UZEE UNAKUJAAA, NDO KUANZA KUZAA NA MIAKA 40 UNAKUTANA NA WANAO LEBA. Hahahaaa! Wenzangu hawana steress wana watoto wakubwa 6 yrs, 7 yrs wana pressure ya nini. Hata wasipoolewa wana watoto.
IMPACT YA KUTOKUZAA UTAINOA 40YRS UNAPOKUWA MUME HUNA NA MTOTO HUNA. HAHAAA. NA NDO UNAPOZAA NA MDOGO WAKO.
Heee, kumbe bado huna copy dunian???
Vile natama uhakiki hii hapaSiwezi kutoa COPY YA KIBOYA hata siku moja. (Kufuru hizi Mungu tusamehe bureee) BADO NAHAKIKI PHOTO COPY MACHINE
Aisee good luck for that. Kuiga kunya kwa tembo nehiiii!!!
Ukibahatika its okey ukilivamba pia tupe feedback, nitakusindikiza China[emoji12] [emoji12]
SIO VICTIMS NAKATAAAA. Kama hawa hawakuzaa zaa labda walibakwa au vipi.
HIO MTU UKIZAA NAE LAZIMA UDUMUA NAE SIO KWELI, HATA NDOA WATU WANAOANA MIAKA 20 INAFIKA MAHALI WANAAMUA IMETOSHA KILA MTU ANASEPA KWAKE.
Kwa nini mwanamke, mtu mzima, msomi, na ana kipato cha uhakika anamvulia mwanaume chupi, anapata mimba - ni victim kweli?
Swali langu la msingi: kwa nini mwanamke anaingia kwenye mahusiano ya mapenzi pasipo kuwa tayari na matokeo yake km kupata ujauzito?
Be strategic uje ulete mrejesho tu tafadhali kama uleeee wa kukopwa.NOTHING HAS TO DO WITH BAHATI NI KUWA STRATEGIC TU. We unafikir hawa wana bahati au walicheza kama pele kujizalisha fasta fasta. Mjini hapaaa.
NA USIPOZAA UKAFIKA 40 HUJAOLEWA UTAFANYAJE? UTAKUFA SINGLE.
BELIEVE ME UKIFIKA 40, SINGLE MOM IS MORE VALUABLE THAN KIGOLI MZEE. Maana umri huo meeting ni play dates, vikao vya shule kila mtu busy na wanae, na wewe mayai ulilia chips yoote.
Yaani mwenzenu labda niwe MGUMBA ila 30 haigongi sina mtoto. Hata iwejeeeee, hio nadhiri nimejiwekea. Kamoja tu kadawa. Kuja kukimbizana leba na wanangu maana hawa wenye 7 yrs si wanangu kabisaaa nikiwa 40 naingia nao leba. Akhaaaaaaaaaaaaa.
Do you still don't know why you are simgle?!!Girl, I think we should not stoop so low as to accept anybody who comes our way even if we have nothing in common with them.
Silently watch and observe him,
-How often does he go to church? (or other place of worship)
-How does he treat you?
-Is he rude, bad mannered and disrespectful to others around him (especially to women,) e.g the waitress serving you food or the askari at the entrance.
-Does he drink alcohol abit too much. (I actually prefer he doesn't drink alcohol at all)
-Don't sleep with him girl. No matter what he says. Even if he calls you "mke wangu" . Hata akikueleza "sema lini nije kujitambulisha" . "Taja mwenyewe tarehe". Once he realises the promise of marriage is not working as you refuse to sleep with him, he will surely disappear. Making way for the right man to come along.
-Before you fall deeply in love do ask him enough questions and carefully read into his answers? They will reveal who he really is.
-Trust your instinct, deep down you know if he is "The One" or the wrong one. Don't ignore that feeling. Not everyman is husband material.
There l said it.
Hili swali nahisi kama umemuuliza asohusika!!!Kwa nini mwanamke, mtu mzima, msomi, na ana kipato cha uhakika anamvulia mwanaume chupi, anapata mimba - ni victim kweli?
Swali langu la msingi: kwa nini mwanamke anaingia kwenye mahusiano ya mapenzi pasipo kuwa tayari na matokeo yake km kupata ujauzito?
Be strategic uje ulete mrejesho tu tafadhali kama uleeee wa kukopwa.
Ila kuitwa mama raha jamani, jitahidi upate wako, mwenzio tayari[emoji12]
Hahahaaaa!!!! Kweli hukosagi.Mimi i am always STRATEGIC MY DEAR. Nilipotoka na nilipo ni tofauti kabisaaa. Wanaonijua nilipotoka wanaelewa. I COULD HAVE BEEN MARRIED, HOPLESS, AND LOST BUT I WAS STRATEGIC. WALIONIPORA MABWANA NA KUOLEWA WOTE WANAJUA AKUNYIMAE MBAAZA KAKUNGUZIA MASHUZI.
NIPO HAPA JF SINCE 2012 NA HUU MDOMO WANGU TENA SAHIVI NI LESS VERSATILE, KAMA KUUMBUKA NINGESHAUMBUKA KITAMBO, TUOMBE UZIMA NITAKUWEPO HAPA HAPAAAAAA KUWAJUZAAA.
Mimi sitaki kuitwa mama na toto halina baba, au baba boya. ALWAYS BE STRATEGIC REMEMBER. Nangoja tu MBINGU ZICHEKE KIDOGO TU NIFANYE YANGU FASTAAAA. Labda yanikute kama ya Wema Sepetu. Mmmmmmhhhhh! Hapo ndo mdomo utakapo komaaa. Ila nitajitutumuaaa kama kawaida. Hajazaaa Oprah itakuwa mie. Nakosaga mnadhani. Hahahaaaaaa.
Linakugusa na wewe kama mwanamke, naamini mnaambizana siri kwa uwazi.Hili swali nahisi kama umemuuliza asohusika!!!
Chupi naazimana na nani sasa???Linakugusa na wewe kama mwanamke, naamini mnaambizana siri kwa uwazi.
Tunasikia hata chupi mnaazimana!!
Hujawakuta kumbe!!!!'The Boss' et al: mmeipata hii ya 'atoto' kwamba 'men do not want to be kept'.
Aluu, ingekuwa hivyo wanaume nao wangenung'unikia kuwa 'single'!!!
Hii unitag kimakosa au?Kumbe nawe haujaolewa, au hiyo stress ya ndoa uliijuaje?
Ushasema kuwa alipokuja huyo kijana at yo 20's hukujua kama ni mpango wa Mungu au laah!! Sasa kama hukujua kwanini umlaumu mtu?
Hivi hakuna waloolewa at their 20's and below na wanajutia leo maamuzi walofanya??? Haya mambo hayana kanuni ndugu, unaweza mpata kajamba nani mwenzio but mkavurugana hatari, na ukampata alie vizuri ukaenjoy tu maisha.
Huwa mnawaongelea walio vizuri kiuchumi as if ni mashetani fulani, na maisha yao hayana jema.
Acheni watu wapate kitu roho inapenda, alie sahihi kwako atakuja kwa wakati uliosahihi,dont live out of yo standards maana wale wanaomeet standard zako watakufikia tu. Ufake eti kisa umfurahishe fulani, au fulani atanionaje!!! Nehiiii!
Wanawake wa hivyo wapo sana, na karibia wengi huanza hivyo hivyo ila mwisho wa siku wanakutana na mabwana mivurugo wanawavuruga akitoka hapo anakuwa kama yule wa jamaa aloleta mada ya kujinunisha.Kuna post nyingine yenye majibu kwenye mada ya "Sonnet" humu jamvini inaendelea kujadiliwa:
"
Blame game haiwezi kuisha ilianza tangu Edeni, na hii iko pande zote, ukimkuta mwanaume anaejua kulalamika utafurahi na nafsi yako.Atleast you can talk some sense to some of the ladies in here who always try and find who to blame nakushindwa kujiongeza panapo bidi