Mapungufu yangu ni kuwa NAOUNA UHALISIA ULIVO SIKU ZOTE. I am not optimistic nor a beliver. I call a spade a spade.Atleast unazijua shortcomings zako which is a good thing kwa maana ni rahisi zaidi kujipanga upya unapo yafahamu na kuyakubali mapungufu yako
Hakuna asietaka 'cha maana' jamani, kuna ubaya wowote mwanamke akitaka anaemzidi hivyo?Wanawake tuwe wa kweli, SIO KWAMBA WANAUME HAMNA, TUNATAKA WANAUME WA MAANA SANAA, AKUZIDI ELIMU, PESA, MAISHA, SASA HAPO KAZI IPO. KAMA MIMI IM SINGLE TECHNICALLY ILA SIWEZI KUKAA NALAUMU, CAUSE I HAD MY SHOTS TAMAA TU NDO ZILIPONZA, WE ALL HAD OUR SHOTS AT A POINT IN TIME. SEMA MIMI NINA ROHO NGUMU KAMA JIWE. HAHAAAA.
Vile Magufuli amebana, hakuna cha le boss wala le mutuz.. hahahaHAHAAAA. Pia ukiwa umeolew in your 30s and nothing is happening mtihani. Unaozaa kimara watoto wa 3, umechoka hatariiii. Wenzio ulio graduate nao, wanaongeza vyeti, vyeo, na kujaza passport. HAHAAAA! IN LIFE YOU DONT GET EVERYTHING.
MUNGU ANAWEKA SOME SORT OF BALANCE, MKUKITANA MNAHESHIMIANA KIULAZIMA. ANAPOPUNGUZA ANAKUONGEZA PENGINE KUKU CPMENSATE NA ANAEMUONGEZEA PENGINE, KWINGINE ANAPUNGUZAAAA. ACHENI MUNGU AITWE MUNGU.
SOME FEW BY FEW I MEAN VERY FEW GET EVERYTHING. ILA NI WACHACHE MNOOO.
Mi hata niwe na miaka 100 mwanaume wa kunikopa apite kuliaaa nitakuwa nyumba ndogo kwa Le Boss.
How do we even start calling u classy from the first place depends in a quiet number of factors judging from your writing, expressions, desires, your educational levels, financial status...you've written quiet a huge content from which it makes it easy to describe what type of a person we are dealing with, so instead of saying we have "categorized" you...i think you should go back and refer what your post says cause trust me... it pretty much says alot about u
... MUNGU ANAWEKA SOME SORT OF BALANCE, MKUKITANA MNAHESHIMIANA KIULAZIMA. ANAPOPUNGUZA ANAKUONGEZA PENGINE KUKU CPMENSATE NA ANAEMUONGEZEA PENGINE, KWINGINE ANAPUNGUZAAAA. ACHENI MUNGU AITWE MUNGU...
how did you know he is from "least classy or beneath you"When l said categorize us, l meant you and me. (Not women)... from least classy (you) to most classy (me). Again l am not offended, l am grateful. Thank you for acknowledging that you are beneath me.
Hakuna asietaka 'cha maana' jamani, kuna ubaya wowote mwanamke akitaka anaemzidi hivyo?
Tatizo tu ni kutokutambua nini unataka na kwasababu gani, how to get it and how to keep it.
Kuhusu good shots, sometimes yes sometimes no.
Kuongelea victims, nilikuwa naongelea kwa upande wa single moms.
When l said categorize us, l meant you and me. (Not women)... from least classy (you) to most classy (me). As l said l am not offended, l am grateful. Thank you for acknowledging that you are beneath me.
how did you know he is from "least classy or beneath you"
Usipo badilika, utaendelea cheza kwaito kwa wenzio tu [emoji5]
Heee, kumbe bado huna copy dunian???SINGLE MOM SIO VICTIMS, NI TRUE INDEPENDENT WOMEN. THEY DARED THE DEVIL HIMSELF. Mwenyewe mpaka kesho nazeeka tu ujasiri wa kuingia leba sijapata. Kuna vitoto 22, 23 vinaingia leba na kutoka salamaa navitamaniaaa. Wale watu jasiri hatariiii, kumzali mtu hajakuoa aiseeeee. Afu wengine sijui ndo ushababi wa lebaaa, anamzalia mtu hana lolote, yaani hamna hamna.
Atleast kuna shoga zangu hao walizaa penyeweeeee. Na walizaa wadogo 20yrs. Sema wamezaa sehemu za maana, hawaijui kodi, umeme, gesi, wala bei ya chupi sio zao sio za watoto. Kila kitu wanalelewa. Ukisikia uzazi mtaji ndo kama huu. Yani ada hawaijui, wanachagua shuleee tu za kusomeshewa. Wamelengaaaa haswaaa.
Mmoja mwaka jana kaolewa na kajamba nani, anakunya kunyaaaa sio kitoto. Mwanaume suruali (NA HAWA NDO WAOAJI UMSAIDIE UGUMU WA MAISHA KUMBE JE) Ananiambia Lara nanyanyasika, yaani nanyanyasikaaa sio kidogooo. Chupi inanibanaaaaa. Nanunua mpaka pampers, mpaka bei ya bambino naijuaaa sio masiharaaa. Yaani nawaza japo wote wanangu ila gap la maisha kati yao sijui naliziba vipi. Manake huyu wa kiume yupo IST wahaya wale wana mapesa huyu wa kike ataisoma namba.
And why are you making the whole thing about you or me or why having the "me and you" situation being the central part of the conversation than taking the whole problem into general specification so we can be able to identify where the problem really is and atleast come up with a solution which can benefit us all...i believe you wrote the post cause you felt there had been a problem somewhere from which you deem so seek some sort of solution and not to deviate from the original post
Aiseee!!! Victims to the society, jamii inavyowachukulia.SINGLE MOM SIO VICTIMS, NI TRUE INDEPENDENT WOMEN. THEY DARED THE DEVIL HIMSELF. Mwenyewe mpaka kesho nazeeka tu ujasiri wa kuingia leba sijapata. Kuna vitoto 22, 23 vinaingia leba na kutoka salamaa navitamaniaaa. Wale watu jasiri hatariiii, kumzali mtu hajakuoa aiseeeee. Afu wengine sijui ndo ushababi wa lebaaa, anamzalia mtu hana lolote, yaani hamna hamna.
Atleast kuna shoga zangu hao walizaa penyeweeeee. Na walizaa wadogo 20yrs. Sema wamezaa sehemu za maana, hawaijui kodi, umeme, gesi, wala bei ya chupi sio zao sio za watoto. Kila kitu wanalelewa. Ukisikia uzazi mtaji ndo kama huu. Yani ada hawaijui, wanachagua shuleee tu za kusomeshewa. Wamelengaaaa haswaaa.
Mmoja mwaka jana kaolewa na kajamba nani, anakunya kunyaaaa sio kitoto. Mwanaume suruali (NA HAWA NDO WAOAJI UMSAIDIE UGUMU WA MAISHA KUMBE JE) Ananiambia Lara nanyanyasika, yaani nanyanyasikaaa sio kidogooo. Chupi inanibanaaaaa. Nanunua mpaka pampers, mpaka bei ya bambino naijuaaa sio masiharaaa. Yaani nawaza japo wote wanangu ila gap la maisha kati yao sijui naliziba vipi. Manake huyu wa kiume yupo IST wahaya wale wana mapesa huyu wa kike ataisoma namba.
SINGLE MOM SIO VICTIMS, NI TRUE INDEPENDENT WOMEN. THEY DARED THE DEVIL HIMSELF... .
Yes we need to analyze the problem and find a solution instead of giving single women like me imaginary labels.
Aiseee!!! Victims to the society, jamii inavyowachukulia.
No one can put me down unless i hv decided to.
Hii ya kuzaa tu ilimradi, nao ni ujasiri, ila kwanini mtu azae na mtu alafu alalamike? Hakumuona huyo mtu tangu awali kuwa ni jipu? If yes,kwanini aliamua kuzaa nae? Hiyo ya kuzaa na watu wa maana ndio kunawaponza wanawake wengi na kujikuta wanazaa na waume za watu.
Umeamua kumchukua kajamba nani mwenzio then kaza mshipa, hata mbuyu ulianza kama mchicha, tatizo kama mwanaume kichwani empty na mfukoni empty pia,lazima uisome namba.
Kumfuga mwanaume ni kipaji,wachache walipewa.
Kumbe nawe haujaolewa, au hiyo stress ya ndoa uliijuaje?Vile Magufuli amebana, hakuna cha le boss wala le mutuz.. hahaha
alafu usiseme tu kua MUNGU ANAPANGA, SEMA ANAPANGA NA NYIE MNAPANGUA MNAMPANGIA, ndio shida inakuja kua kama hii ya mleta mada... uko 24, mtu analeta mahari, hujui n mpango wa Mungu au sio, jamaa mwenyewe anaetaka kukuoa ndio anaanza maisha, ana boda boda kake, we kuna libos linakueka mjn, unaamua itosa ndoa eundelee kua side chick, mshkaj anaenda anaoa pengine, baada ya muda nae atakua boss vile vile... unafika wakat wako wewe kutaka olewa unakuta wale wote walio taka kukuoa wamesha oa, umri umesogea, , hapo ndio unaanza ngonjera, hakuna stress mbaya kama stress ya ndoa
HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE.
"lara 1; mbona mifano ulitoa inapingana na hoja yako hapo juu!"
SINGLE MOM is a victim of her own making just same as "Sonnet's case" we are discussing.
Why should a girl fall into a love trap!
Why the well to do women live single!
ARE MEN TO BLAME?
falsafa yangu ya maisha ni kwamba "nime ingia dunia mwenyewe na nitatoka dunia mwenyeww, hivyo maisha ni yangu mwenyewe pale ninapoanza kutambua mabaya na mazuri".