The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Dec 27, 2011 #1 Memories..
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Dec 27, 2011 #2 Du!....! MTAKUJA PRIMARY SCHOOL! Unajua we kijana unanikumbusha mwaka gani wewe?
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Dec 27, 2011 Thread starter #3 PakaJimmy said: Du!....! MTAKUJA PRIMARY SCHOOL! Unajua we kijana unanikumbusha mwaka gani wewe? Click to expand... PJ hicho kitabu kinakumbusha mambo mengi kweli aisee
PakaJimmy said: Du!....! MTAKUJA PRIMARY SCHOOL! Unajua we kijana unanikumbusha mwaka gani wewe? Click to expand... PJ hicho kitabu kinakumbusha mambo mengi kweli aisee
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,450 Dec 27, 2011 #4 PakaJimmy said: Du!....! MTAKUJA PRIMARY SCHOOL! Unajua we kijana unanikumbusha mwaka gani wewe? Click to expand... mwaka ule unakwenda shule bila viatu mfukoni umeweka mahindi ya kukaanga umevaa kaptula bila c.h.p ndani hahahahahaha maisha yalikuwa ya raha
PakaJimmy said: Du!....! MTAKUJA PRIMARY SCHOOL! Unajua we kijana unanikumbusha mwaka gani wewe? Click to expand... mwaka ule unakwenda shule bila viatu mfukoni umeweka mahindi ya kukaanga umevaa kaptula bila c.h.p ndani hahahahahaha maisha yalikuwa ya raha
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Dec 27, 2011 #5 Blaki Womani said: mwaka ule unakwenda shule bila viatu mfukoni umeweka mahindi ya kukaanga umevaa kaptula bila c.h.p ndani hahahahahaha maisha yalikuwa ya raha Click to expand... Halafu umechomekea kwa raha zako! dah
Blaki Womani said: mwaka ule unakwenda shule bila viatu mfukoni umeweka mahindi ya kukaanga umevaa kaptula bila c.h.p ndani hahahahahaha maisha yalikuwa ya raha Click to expand... Halafu umechomekea kwa raha zako! dah
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Dec 27, 2011 #6 afu kaptura inabana mifuko haijaungwa ukicheza tu kalioz Zote nje Erickb52 said: Halafu umechomekea kwa raha zako! dah Click to expand...
afu kaptura inabana mifuko haijaungwa ukicheza tu kalioz Zote nje Erickb52 said: Halafu umechomekea kwa raha zako! dah Click to expand...