Membershp Only Movie&Whatsapp Request Group

Inanishangazaga sana kiukweli watanzania watu wa ajabu sana.
 
Unatoa huduma inakula hela ya bundle+ kusafiri kufikisha huduma.


Mtu anakwambia eti fanyeni kazi[emoji1787][emoji1787]

Yaani yeye kazi kwake hadi umwage zege au ukalime[emoji1787][emoji1787]
[emoji124][emoji124]
Ndo maana hatufiki mbal mkuu
 
Wabomgo wengi ni watu wa ovyo sana
 
Tanzania Ni Pazuri Sana Nchi Ya Asali Na Maziwa
Vyanzo Vya Mapato Ni Vingi Sana
Ndugu Zangu Tufanye Kazi
Ndo maana africa tupo nyuma sana na tunaongoza kwa low income earners...yani mna mind za kishamba shamba mno
 
Hahahahahahahahahahaaaa
Acha nicheke tu.
Vijana fanyeni kazi, hakuna pesa za bure.
Kama wewe umeweza kuzipata hizo movie basi na wengine watazipata tu bila kulipia 30k kwa mwezi.
Zero brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…